Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale!

Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale!

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Ikiwa imepita mda sasa tangu alipogusia swala la kujenga msikiti, ambao utakuwa kumbukumbu yake kwa watakaoutumia, na ikiwa ni
njia moja wapo ya kurudisha katika jamii, Diamond amesema msimamo wake bado uko palepale.

"Sasa hivi mimi nina maeneo yangu, kwasababu ninapokuwa na hela mi nakuwa muoga sana kuwekeza najitahidi sana kununua nunua viwanja au kama hivi vijumba vidogo vidogo vya kuvunja maeneo tofauti tofauti.

Sasa hivi niko plani kwamba niujengee sehem gani, nitengeneze msikiti sehemu ambayo itakua ni nzuri,msikiti ambao hata kesho na kesho kutwa mi nikifa, mababu vizazi na vizazi viwe wanaswali pale kama msikiti ambao aliutengeneza kijana wetu Diamond.Watu wanaswalia, mi naamini itanipa baraka kubwa sana, na soon too naimani mwenyezi Mungu naimani atanisaidia, nitangeneza huo msikiti" amesema Diamond licha ya kuwa na plani ya kujenga mskiti huo.

Iliripotiwa kuwa kwa sasa ameshakamilisha ujenzi wa nyumba ya mama yake mzazi iliyogharimu zaidi ya shilingi za kitanzania milioni 260..
 
Angejenga shule hata ya ufundi tu ingesaidia vijana wenzake ambao wanalegeza suruali na wanabana pua ila ndio hawatoki...wapate hata ufundi wa pikipiki tu uwasaidie kuanzisha maisha yasiyo tegemezi na yasiyo ya kuiga
 
Nataka kulewa, nataka kulewa mama Sepetu mama, mama kidoti mama
 
Mwache ajenge lakini ataambulia kukumbukwa na wananchi, hata afe hapati kitu na hizo pesa zake za kulewa
 
AHAHAHAHAHAAHAHAAAAA...NATAKA KULEWA ..LEWAAAAAAAAAAAAAAA.
DOGO HAJIELEWI KABSAAAAAA...ANADHANI KUJENGA MSIKITI KWA PESA CHAFU KUTAMFUNGULIA PEPO SIKU AKIFA...NA HE IS TOO YANGU TO INVEST IN LIFE AFTER DEATH USING MONEY...NAKUSHAURI KIJANA DAIMOND..ONGEZA SWALA KUWA MCHA-MUNGU NA TENDA YALE YOOOTE MUNGU NA KWA KUPITIA MITUME WAKE ALITUASA NA KUTUFUNDISHA kuyashika katika utimilifu wake....ukifanya hivyooo wala huitaji kujenga msikiti kijana.

Uislam umejengeka katika nguzo tano...HII YA KUJENGA MSIKITI SIDHANI KAMA INAPATIKANA KATIKA NGUZO HIZO...kwanini usijitakase kisha uende hija mecca?

NI MAONI TUU NIKIWA KAMA MWANANCHI WA KAWAIDA ILA NAAMIN WAPO MASHEIKH NA WANAZUONI WATAKUJA HAPA KUKUJIBU NA KUKUELEKEZA KILICHO BORA ZAIDI KATIKA IMAN YAKO YA KIISLAM.
 
hana akili hyo domond na hajitambui...ndo tatizo la hawa jamaa wa iman ya domond wanadhan ukijenga msikiti ndo utaiona pepo huko ni kujidanganya mapemaaa,kwa hiyo yeye ndo atakuwa sheikh wa huo msikiti...jamani wenzetu wanamiliki misikiti....ahahahahah...domoooooooooooo
 
Sio mbaya akijenga msikiti kama sehemu ya yeye kukumbukwa.
Kujenga shule iliyokamilika ki shule ni gharama kubwa mno kulinganisha na kujenga msikiti wa wastani. Mtu anajikuna anapofikia.
 
Angejenga shule hata ya ufundi tu ingesaidia vijana wenzake ambao wanalegeza suruali na wanabana pua ila ndio hawatoki...wapate hata ufundi wa pikipiki tu uwasaidie kuanzisha maisha yasiyo tegemezi na yasiyo ya kuiga

Haya ni mawazo yako na sio ya diamond!!....Yeye kwake msikiti ni first priority...over
 
ukisoma vizuri ndio unajua huyu kijana ni wa aina gani. Muacheni jamani 'diamond aitwe diamond' maana hapo ndipo fikira zake zilipofikia!
 
Kuna shekhe mmoja alikuwa anapita mtaani kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga msikiti..akakutana na shangingi moja ..jamaa akashusha vioo kumbe ni muumini ,shekhe akatoa maneno ya mchango... Jamaa akasema shekh wangu hela zangu si halali maana ni za madawa ya kulevya......shekhe akasema "we lete tu ndugu tutatengenezea choo"

safi sana diamond ongeza misikiti ifike 701 na shule 7...nahisi vinatosha sana kwa kuwaletea maendeleo ya baadae maana elimu kwenu hamtaki ila kuandamana kwenda wizara ya elimu mnataka....

diamond
licha ya kuwa na plani ya
kujenga
mskiti huo, iliripotiwa kuwa kwa
sasa ameshakamilisha ujenzi
wa
nyumba ya mama yake mzazi
iliyogharimu zaidi ya shilingi
ta kitanzania milioni 260..
 
watu uwa wanashangaza, walau yeye kakumbuka kujenga mskiti. Wapo watu na mapesa yao hata kutengeneza daraja dogo la mtaa ili watu wavuke kwa usalama kuliko kupita juu ya gogo wameshindwa.
Yeye kaona ajenge msikiti ni jambo jema pesa ni ya kwake huwezi kumpangia nini afanye na pesa yake kama umeona msikiti haufai tafuta zako kafanye unaloona wewe lingefaa.
Kujenga shule gharama ndiyo maana tumejazana na mishule ya kata ambayo haina hata waalimu wala ma desk na full kututolea low quality products.
 
yeye kutosoma haimuumizi? Hivi kuna ambao hawasali kisa misikiti ni michache?

hapo nilipo-bold ndipo imani za dini nyingine zinatofautiana kwa mbali sanaaa na iman ya dini ya diamond.

Kwa kina diamond wanasema duniani kuna elimu za aina mbili
1- elim akhera
2-elimu dunia

na katika elimu zooote hizo mbili hiyoooo ya kwanza ndio inatakiwa ichukuwe asilimia mpaka 95 ya maisha ya mwanadamu...na elimu hiyo ndio inayotaka mtoto aende madrassat wakati wengine wanaenda nasariskul unamtaka akitoka shule ya kata aende masjid wakati wenzie wanaenda twishen na kujibu homework za jana..

inamtaka aki-feli la saba au form 4 aende kuwa mwalimu wa madrasa wakati wengine wanaenda private skul na kujiunga na vyuo vya ufundi stadi...

inamtaka kwa siku aende msikitini kuswali mara 5 na minimum time spend in swala ni 1hr which means atumie 5 hrs daily kuswali wakati wenzake wana-mwomba mungu wao kwa hardly 20mins na ni asubuhi na usiku kabla ya kulala.

Inamtaka akienda swallat jumuiya hiyo ijumaa asikilize mawaidha then waandamane wakati wenzao wakitoka kwenye ibada fasta wanawahi kufanya kazi...

pia inawataka waki-fel mtihani hata wa dini yao waandamane wamtoe mama ndalichako as if ukipata a- ya dini unakwenda chuo kikuu kosomea dini wakati hakuna course ya bachellor degree in dini yako.

Do the math-son as soon the math will solve their own problems coz they have now started to grow up and acts like adults
 
Back
Top Bottom