Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale!

diamond namkubali sana...hao makafir wanaoona dini yao ni bora kuliko nyingine mi nawashangaa sana...au hawajui jengo refu kuliko yote liko dubai?na huko wanakaa dini gani..kwa nini lisingekuwa roma vatican
 
unadhani diamond na misifa yake atajenga msikiti wa kuweka mikeka tu
unataka kusema ataweka sofa la furniture center!ahaahahaha sikutaka kuchangia hii thread jamani lakini best umeniacha hoi !nimecheka kwa sauti ujue!:yo:
 
diamond namkubali sana...hao makafir wanaoona dini yao ni bora kuliko nyingine mi nawashangaa sana...au hawajui jengo refu kuliko yote liko dubai?na huko wanakaa dini gani..kwa nini lisingekuwa roma vatican

ish!
unataka kusema hapa ndo umefikiria weeeee ukajishauri na halamshauri ya kichwa chako,ukaaandika!?
tuna kazi sana kama nchi isee!
 
diamond namkubali sana...hao makafir wanaoona dini yao ni bora kuliko nyingine mi nawashangaa sana...au hawajui jengo refu kuliko yote liko dubai?na huko wanakaa dini gani..kwa nini lisingekuwa roma vatican

Mawazo ya kiswahili haya_mtu wa bara kamwe hawezi kuwaza kipuuzi na kijuha hivi....!
 
diamond namkubali sana...hao makafir wanaoona dini yao ni bora kuliko nyingine mi nawashangaa sana...au hawajui jengo refu kuliko yote liko dubai?na huko wanakaa dini gani..kwa nini lisingekuwa roma vatican

kweli we duwanzi.....
 
Ni sawa Diamond hayo ni maamuzi yako na moyo wako umekutuma kufanya hivyo na feza ni yako
all the best
 
diamond namkubali sana...hao makafir wanaoona dini yao ni bora kuliko nyingine mi nawashangaa sana...au hawajui jengo refu kuliko yote liko dubai?na huko wanakaa dini gani..kwa nini lisingekuwa roma vatican
Kweli akili ni nywele, kumbe jengo lefu ndio teknolojia? pole sana.

Ile unayoamini wewe kwamba ni ardhi tukufu Saudi Arabia kuna Military base ya Makafir USA.
 
Ni sawa Diamond hayo ni maamuzi yako na moyo wako umekutuma kufanya hivyo na feza ni yako
all the best
Huwa sipendi kuchangia mada za kipumbavu, lakini ukweli huyu mtoto shombo lake alipeleke kwingine na achana na religion issues, vitu kama hivi inapaswa media zioneshe picha akikabidhi funguo za msikii ukiwa umekamilika na Mungu atampa kile anachostahili, na siyo kufanya promo za kijinga kwenye media jioni unaanza kusifia pombe na mademu, eti nataka kulewa. jamani twende taratibu, kama pesa zinamlevya kweli akanunuwe hisa tu kule Nasdaq na siyo kutulea thread ushuzi kila siku.
 
Back
Top Bottom