Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale!

Angejenga shule hata ya ufundi tu ingesaidia vijana wenzake ambao wanalegeza suruali na wanabana pua ila ndio hawatoki...wapate hata ufundi wa pikipiki tu uwasaidie kuanzisha maisha yasiyo tegemezi na yasiyo ya kuiga

Unajua hawa wenzetu wana msemo wanadai dini kwanza mambo mengine baadaye, alafu baadaye wanalalamikia kwamba kuna mfumo kr...to unawafanya wasipate opportunities
 
tap! Tap! Tap! Tap!
 
Mswahili bwana eti msikiti badala ya shule ili ndugu zetu nao wafute ujinga waache kuandamana kila kukicha
 
Hivi nyie makaf**********ir mnafikiri kua shule mnazo ringia zimewasidia. Elimu bado haijamkomboa mtz hiv. Unajua kua hii elimu ya chuo kikuu tz ni janga la taifa huoni kua mfumo huu ni mbovu
Wapo vilaza wengi wamemaliza vyoo vyenu hivi tatktak
Huoni kua ufisadi umeingia. Ktk mishipa ya damu mt
Elimu ya madras ni elimu ya kuujua uisilamu wa mtu toka utotoni
hivi nyinyi tunawaingilia na shuele zenu za jpili
Acheni dharau nynyi
 
Mmmmh jamani hadi matumizi ya mtu pia ni debate???????

Hebu kuweni na busara kidogo bhana.......anatumia pesa yake kwa matakwa yake!!!!!

Au mlitaka ajenge danguro la mchana ndo mfurahi......

Mbona wote mmekazania kujenga msikiti .....kujengaaa msikiti.....

Wangapi kati yetu tumewajengea mama zetu nyumba bora za kuishi??????
Mbona kwa hili hamumpongezi ilhali wengi humu tumemzidi umri?????
 
Pwi pwi pwi eti poromota anabip naamua kumpigia bila aibu anajisifu.....naona kama kawa kama dawa mwenyeweeee umewahi kazini, endeleza promo mpumuliwaji kisogo
 
Msikiti kwa hela ya kuimba? Sijui, allahu yaalam. Bt i doubt
 
unajua hawa wenzetu wana msemo wanadai dini kwanza mambo mengine baadaye, alafu baadaye wanalalamikia kwamba kuna mfumo kr...to unawafanya wasipate opportunities
kwa taarifa yako kwetu elimu ndo mwanzo. Mana hata mtume wahy wake wa mwanzo aloshushiwa ilikua ni kusoma. Iqraa, maana yake soma. Na kwetu ss mcha mungu mwenye elimu ni bora zaidi kuliko aso elimu. Usije ukafkiri hii elimu mmeanza nayo nyinyi, ooyyyooooooo
 
mhu. Mna kasumba za ajabu nyinyi sijapata kuona. Sijui una ushahidi gani juu ya hilo. Mana wa kwetu wansoma shule, madrassa na tuition. Na wakiwepo home usiku ni revision ya kazi zao za shule. Acha dharau wewe, na chuki za kijinga.
 
Badala ya kujenga shule ambayo jamiii yote Inufaike unajenga msikiti....jamiii unaibagua....bado tunaendelea na ujinga uleule
 
That's good idea bro diamond ana akili sema watu wengi wanawivu nae sijui kwa sababu walukuwa wanauza nae ice cream?hzo zote ni juhudi zake jaman fanyeni yenu na nyie muonewe wivu !

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Diamond angejitahidi akumbukwe na watanzania wote na watu mbalimbali.Na itakuwa heshima yake pia kwa mashabiki wake bila kujali dini zao.Pesa hiyo imetoka kwa watu mbalimbali wenye dini tofauti na wisio na dini.KIJANA WAZO LAKO NI ZURI, ILA TAFAKARI KWANZA.
My take:Angalia usije ukakumbwa na janga tulonalo.Tz yetu sasa hivi ina doa la udini, so take care hata mashabiki wasije wakabaki WAISLAM.
Yangu ni hayo .
 

apunguze zinaa.zinaa zimeuwa wengi
 
That's good idea bro diamond ana akili sema watu wengi wanawivu nae sijui kwa sababu walukuwa wanauza nae ice cream?hzo zote ni juhudi zake jaman fanyeni yenu na nyie muonewe wivu !

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
aendelee kujituma atafanikiwa zaidi
 
Huo Msikiti nasikia atakae uzindua ni mzee mzima Lowassa! Keep it up Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…