unataka kusema ataweka sofa la furniture center!ahaahahaha sikutaka kuchangia hii thread jamani lakini best umeniacha hoi !nimecheka kwa sauti ujue!:yo:unadhani diamond na misifa yake atajenga msikiti wa kuweka mikeka tu
diamond namkubali sana...hao makafir wanaoona dini yao ni bora kuliko nyingine mi nawashangaa sana...au hawajui jengo refu kuliko yote liko dubai?na huko wanakaa dini gani..kwa nini lisingekuwa roma vatican

Kweli akili ni nywele, kumbe jengo lefu ndio teknolojia? pole sana.diamond namkubali sana...hao makafir wanaoona dini yao ni bora kuliko nyingine mi nawashangaa sana...au hawajui jengo refu kuliko yote liko dubai?na huko wanakaa dini gani..kwa nini lisingekuwa roma vatican
Huwa sipendi kuchangia mada za kipumbavu, lakini ukweli huyu mtoto shombo lake alipeleke kwingine na achana na religion issues, vitu kama hivi inapaswa media zioneshe picha akikabidhi funguo za msikii ukiwa umekamilika na Mungu atampa kile anachostahili, na siyo kufanya promo za kijinga kwenye media jioni unaanza kusifia pombe na mademu, eti nataka kulewa. jamani twende taratibu, kama pesa zinamlevya kweli akanunuwe hisa tu kule Nasdaq na siyo kutulea thread ushuzi kila siku.Ni sawa Diamond hayo ni maamuzi yako na moyo wako umekutuma kufanya hivyo na feza ni yako
all the best