Diamond, mtoto wazua gumzo

Diamond, mtoto wazua gumzo

Mmh hata kama mwenzangu wahame akii..yani wamejazana utafikr nn..huyo asma si mbibi kabisa anashindwa kupanga?? Kazi kubanana kwa watu tu mpaka wenyew washindwe kujamba mxieww

Esma nae gym ishakua yake hahaaaaaa tatizo mvivu angefanya biashara akapanga kwake,kubwa Zima unaenda kukaa kwa WiFi yako SI ndio kutafutana ubaya
 
Mmh hata kama mwenzangu wahame akii..yani wamejazana utafikr nn..huyo asma si mbibi kabisa anashindwa kupanga?? Kazi kubanana kwa watu tu mpaka wenyew washindwe kujamba mxieww

vivu Hilo dada lake yaan hapo hata hukai kwa raha bora angekua mdogo yaan hapo ilifaa awe anamtembelea kaka yake tu
 
Back
Top Bottom