Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mmh hata kama mwenzangu wahame akii..yani wamejazana utafikr nn..huyo asma si mbibi kabisa anashindwa kupanga?? Kazi kubanana kwa watu tu mpaka wenyew washindwe kujamba mxieww
Esma nae gym ishakua yake hahaaaaaa tatizo mvivu angefanya biashara akapanga kwake,kubwa Zima unaenda kukaa kwa WiFi yako SI ndio kutafutana ubaya