Diamond, mtoto wazua gumzo

Diamond, mtoto wazua gumzo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz ' na mtoto wa dada yake Esma , Taraj wamezua gumzo la aina yake baada picha yao kutupiwa mtandaoni na watu kudhani ni yule Tiffah wa Diamond ambaye hajawahi kuonekana sura .

Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Esma kuiweka picha inayomuonesha Diamond akiwa amelala kitandani na Tahaj ndipo watu walipofikiri ni ya Tiffah na kuanza kuijadili huku wengine wakitumiana kwenye simu zao wakijulishana kuwa hatimaye ‘Tiffah' ameonekana sura .

Kutokana na gumzo kuzidi kukua kwa kasi , sosi mmoja alimpigia simu mwandishi wetu na kumtumia picha hiyo akimwambia ajionee Tiffah ameonekana sura .

"Mlikuwa mnahangaika kuipata sura ya Tiffah , huyo hapo sasa muangalie amwenyewe," alisema sosi huyo .

Hata hivyo, mwanahabari wetu alijiridhisha kuwa mtoto huyo si Tiffah bali Taraj wa dada yake Diamond baada ya kuwasiliana na Esma mwenyewe.


GPL
 
Mtoto wa taifa, haya wacha tuendelee kusubiri, watu wanataka kufananisha mdomo tuuuuu
 
Nafkir mtt wa plutnm atakuw beautiful sana dat y hatak kumuonesha face ili 2cmchoke fast
 
Mama si anakaa nyumbani kwa Dai, Nyumba ya uwani... Ila yule bwana alibugi.

Duuuh sasa pale c kama camp hivi familia yote ikae pale cmajanga......kweli mswahili hawezi badilika huyo bosslady anakazi
 
Ni desturi ya kipemba.

Hii ni zaidi ya kipemba nyumba yenyewe ndogo hata picha zinaonyesha sasa wote wakae hapo kma camp au kota c police.......huyo dada hata kma anaroho ngumu plus mahaba niue hawezi vumilia hiyo familia
 
Sa ataenda wapi? mjini ukiwa na pa kula bure mtu lazima uringe.

Mmh hata kama mwenzangu wahame akii..yani wamejazana utafikr nn..huyo asma si mbibi kabisa anashindwa kupanga?? Kazi kubanana kwa watu tu mpaka wenyew washindwe kujamba mxieww
 
Back
Top Bottom