Diamond Na Ally Kiba kwenye Twitter

inatakiwa aje heaven on desert kuthibitisha
 
Hayo yameandika kweli na Domo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
how could he STOOP SO LOW!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ally Kiba kamjibu vizuri sana
ka amekopa ye yanamhusu nini!!!!!!!!!!!

We kweli kilaza yaan huyo tapeli anakuchota akili kiulainiii hata hustuki

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Nimegundua humu jf kuna vilaza wengi sana sio wazee sio vijana

Ndio maana shigongo anatajirika, you cant read between the lines unasoma tu kama zuzu kisha una comment hata wewe Mamndenyi?

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Hao n hackers,wana hack account za wasanii wakubwa kisha wanaandika hayo maneno ili kuipa promo hyo kampuni ya ukopeshaji..
 
kwenye ukurasa wa kala kuna web ya hiyo kampuni ya mikopo, kama vile haitoshi ukiangalia majibu ya alikiba anaiongelea kampuni mpaka anaonesha na link yake huu ni mchezo wa kutangaza kijanja biashara halafu nyie mnaishia kulumbana watu wamepiga hela ha ha ha wa tz bwana
 
Mimi nimeona kazi kukopi mambo yao ila uyo Diamond kashatoa majibu kuhusu hii ishu na Kiba huko Instagram kifupi kalalaminka anafutiliwa na wasanii wenzie na mboyoyo mingi kua wanamsema hana sauti na blah blah mtanisamehe alie interested akachungulie kule kule.
 
Mmmmmmh acha Uongo basi twita gani hii inaruhusu watu waandike maneno mengi hivi zaidi ya maneno 140...hii itakuwa facebook mjomba..

Watu Wamejibizana Wee ... Inaonekana Sio Watumiaji Wa Twitter... comment Yako ndo Nmeiona Ya maana Kulko zote... Twitter Hauwez Kuandika Habari Ndefu... Hyo N Kuitangaza Hyo Kitu Tuuuuu
 
Pia Faida Ya Wana Jf Ambao Hamjui Mambo Ya Technolojia ... Haiwezekani Kampuni Ya Mkopo Ishindwe gharamia Domain Name Kama .com au .org au.net af Wachukue Domain za Watoto.. Af Ni Domain za Simu sasa... Kuweni Makini Pia kwenye website ya Taasisi Ya Mikopo Kutakuaje na Matangazo ya tigo.. Na Pia Ucbrowezer...

AMKA MTANZANIA
 
Watu Wamejibizana Wee ... Inaonekana Sio Watumiaji Wa Twitter... comment Yako ndo Nmeiona Ya maana Kulko zote... Twitter Hauwez Kuandika Habari Ndefu... Hyo N Kuitangaza Hyo Kitu Tuuuuu

Nimeshangaa sana aisee twita hairuhusu barua ndefu kama hizi..
 
We kweli kilaza yaan huyo tapeli anakuchota akili kiulainiii hata hustuki

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Ndio maana nilianza kujiuliza kama hayo maneno kaandika yeye............

halafu kama mimi ni KILAZA its my Business not yours
 
Ndio maana nilianza kujiuliza kama hayo maneno kaandika yeye............

halafu kama mimi ni KILAZA its my Business not yours

Basi yaishe we "Kichwa"

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
inasemekana Mtu kavimba Huko Instagram... Ndo Ubaya Wa Wabana Pua ... wana Majungu Kuliko Kuchanana Ukweli

Hasa anashindwa Kuelewa Kama Huu Ni Uzush wa Mablog

Watu Wamejibizana Wee ... Inaonekana Sio Watumiaji Wa Twitter... comment Yako ndo Nmeiona Ya maana Kulko zote... Twitter Hauwez Kuandika Habari Ndefu... Hyo N Kuitangaza Hyo Kitu Tuuuuu

it make sense.
 
hamna bif hapo ni biashara tu wameambiwa waitangaze hio kampuni ya mikopo hamuoni hata ali kaweka link na pia diamond kaisifia haitozi riba
 
Twitter wanaruhusu more than 120 characters per tweet? Naona kama wanajibizana kwa story,something i believe you can't do huko Twitter!
Mleta post unatuingiza chaka?
 
Duh...hii mbona umeiwahisha, ungesubiri tarehe moja mwezi wa nne ingekuwa safi sana.

Any way..tumejua kumbe kuna taasisi ya mikopo isiyo na riba....ok nadhani lengo lako kwa kiasi fulani limetimia.....nitaitafuta.
 
Ni scandal sio SCANDLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…