Diamond na baba Levo kweli wametoka mbali si kwa mavazi haya

Mboni ni Juzi tu na nini kibaya hapo mkuu mbon wamevaa fresh tu au mimi sijaelewa?
Akili yako haina shida kweli?

Au naona black n white labda..
 
Mwasiti, Diamond, Wema, Baba Levo, Linex Mjeda na Peter Msechu hapa walikua location wanashoot video ya LEKADUTUGITE

One of my best songs kwenye bongofleva ama kweli bongofkeva ilikua zamani sio sa hivi njaa na kiki nyingi kuliko ufundi[/color][/b]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…