Diamond Na Eneka Ni ubunifu!

Diamond Na Eneka Ni ubunifu!

Chuki zingine hazifai.Vijana wa kitanzania ndo mana hatufiki popote.Kisa wivu na chuki za kijinga.
Kama ni kizuri kinaigwa tu na hao mnaosema hawajui muziki kila siku wanaleta tuzo nyumbani tena za heshima,afu cha ajabu hao mnaosema wanajua kila siku wananyoa ndevu pale kkoo.
WAKATI MWINGINE TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA KATI YA KILICHO BORA NA UNACHOKIPENDA.
povu la omo malti aktivu hili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nlimuona kavaa misalaba kifuani je anapingana na imani yake au kasha silimu
 
Back
Top Bottom