playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
povu la omo malti aktivu hili..Chuki zingine hazifai.Vijana wa kitanzania ndo mana hatufiki popote.Kisa wivu na chuki za kijinga.
Kama ni kizuri kinaigwa tu na hao mnaosema hawajui muziki kila siku wanaleta tuzo nyumbani tena za heshima,afu cha ajabu hao mnaosema wanajua kila siku wananyoa ndevu pale kkoo.
WAKATI MWINGINE TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA KATI YA KILICHO BORA NA UNACHOKIPENDA.
Sent using Jamii Forums mobile app