Diamond na Harmonize wampe somo AliKiba

Diamond na Harmonize wampe somo AliKiba

Kiba ni mtu maarufu mjinga zaidi tz coz umaarufu wake haufanyi kua fursa na soon atapitwa hadi na akina Vanny boy
 
Kabla ya kumpa ushauri kwanza wamrudishie penseli yake. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Hivi unaelewa maana ya kuwa balozi wa kitu we jamaa, kuwa balozi ni kutangaza bidhaa au kampuni au kitu kilicho lengwa kwa watu wako kutokana na ushawishi ulio nao katika jamii Sasa unaposema hapendi show off sijakuelewa kabisa Sasa anatangazaje hizo kampuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba Kama umepotea njia hizo kauli Ni za kumkejeli kiba Kama ujui kutokana na kauli zake za kusema apendi show off.Hapo jamaa amekejeli kiaina uwe muelewa.
 
huo ndio utetezi wenu "hapendangi ku-showoff".

hivi kweli let say uwe balozi wa kampuni X inayotengeneza viberiti halafu hupendi watu waone kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii?. hizo akili matope?.

utatangaza vipi product za kampuni husika bila watu kuona.

ukweli ni kwamba, kiba hana lolote.
Kama uwelewi asilimia kubwa wanaosema Kiba apendi show off si mashabiki wa kiba,na mshabiki wa kiba hawawezi kuongea hizo kauli unazaona Ni za kumkejeli Alikiba wanatumia Kama nukuu na hiyo imekuja Ni pale Alikiba aliwahi kusema alikuwa na record label hapo zamani mtangazaji akamuuliza mbona atujawahi kuisikia kiba akajibu sipendi show off ndo maana ukuisikia, mtangazaji ikabidi acheke tokea hapo hiyo kauli imetumika Kama kumkejeli Alikiba ndomaana unaweza ukasikia kiba Ni tajili number 1 Tz kuliko hata mo Ila apendi show off
 
Yaan watoto wa Wasafi mnampenda Kiba hadi mnamuonea wivu Amina, mkikaa mnamuwaza, mkitembea mnamuona, mkilala mnamuota haya mahaba hata mademu wa Ali hawana, hahahaha

Swali kwako, alishakuja kukuomba hela ya mboga kama jibu hapana basi pambana na hali yako.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Hivi unaelewa maana ya kuwa balozi wa kitu we jamaa, kuwa balozi ni kutangaza bidhaa au kampuni au kitu kilicho lengwa kwa watu wako kutokana na ushawishi ulio nao katika jamii Sasa unaposema hapendi show off sijakuelewa kabisa Sasa anatangazaje hizo kampuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio sifa ya mfalme wetu, hata mkimpa matangazo yenu msimamo wake ni uleule kutopenda show-off, kama hamtaki tangazeni wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huo ndio utetezi wenu "hapendangi ku-showoff".

hivi kweli let say uwe balozi wa kampuni X inayotengeneza viberiti halafu hupendi watu waone kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii?. hizo akili matope?.

utatangaza vipi product za kampuni husika bila watu kuona.

ukweli ni kwamba, kiba hana lolote.
MKUU WEWE NI MGENI NINI? WANAPOSEMA HAPENDI SHOW OFFS WANAMAANISHA KUWA HUYO KIBA NI MBURURAAAAAAA YAN HAJIELEWI KWA KIGEZO KUWA HAJIONESHI KUMBE HANA HATA HICHO CHA KUMFANYA AJIONESHE
 
Kama uwelewi asilimia kubwa wanaosema Kiba apendi show off si mashabiki wa kiba,na mshabiki wa kiba hawawezi kuongea hizo kauli unazaona Ni za kumkejeli Alikiba wanatumia Kama nukuu na hiyo imekuja Ni pale Alikiba aliwahi kusema alikuwa na record label hapo zamani mtangazaji akamuuliza mbona atujawahi kuisikia kiba akajibu sipendi show off ndo maana ukuisikia, mtangazaji ikabidi acheke tokea hapo hiyo kauli imetumika Kama kumkejeli Alikiba ndomaana unaweza ukasikia kiba Ni tajili number 1 Tz kuliko hata mo Ila apendi show off
takataka
 
MKUU WEWE NI MGENI NINI? WANAPOSEMA HAPENDI SHOW OFFS WANAMAANISHA KUWA HUYO KIBA NI MBURURAAAAAAA YAN HAJIELEWI KWA KIGEZO KUWA HAJIONESHI KUMBE HANA HATA HICHO CHA KUMFANYA AJIONESHE
hapo sawa
 
Kiujumla kwenye maisha lazima kuwe na tofauti mi naamini si kila ulichonacho lazima mwingine awe nacho ndio kama kiba alivyo na hata wasanii wengine walivyo Harmo kupata huo ubalozi sio lazima kiba apate mana kila mmoja ana njia zake za mafanikio kingine huwezi jua mana kiba ni wa zamani hivyo unafikri hao wazamini hawajamuona mana hata ww hapo ulipo pengine mdogo wako kafanikiwa kuliko ww je umeshawahi kuwaza akupe siri ya mafanikio yake;
 
The day artists kama Alikiba, Aslay, Marioo, darasa n.k with their own style of singing wakitambulika kama international artists that's the day tunaeza kusema mziki wetu umeenda international.

Apart from that bongo fleva ni mziki wa nyumbani tu.
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Darassa mbona yupo vizuri ila ana kosa Management basi ngoma ya mziki ni kubwa sana ila haijapushiwa sana na hii I like it bonge la nyimbo,hata ukiangalia ktk channel kubwa za kimataifa inapata airtime ya kutosha.
 
Hili ni tatizo la kusimamiana kishikaji sabab hascan ndo anamsimamia darasa sasa hapo tutajiuliza je hascan anauelewa gani kwenye maswala ya usimamizi wa wasanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada hujui mziki Mondi na Harmonize wanaimba taste za kinaijeria ambazo wanaijeria walizipigania na zimefanikiwa ndiyo maana unahisi Mond na Harmonize wamefanikiwa ndiyo wamefanikiwa kwa kuimba taste za watu wengine Alikiba anakomaaa na bongo fleva na uwezo wa Alikiba ndiyo uwezo wa bongo fleva.

Honestly bongo fleva haijapga hatua saaaan ndiyo maani Alikiba hajapiga hatua

Kuhusu matangazo Alikiba alisema matangazo yanakuj tatizo Bei

Sent using Jamii Forums mobile app

Naunga Mkono Hoja. Umesema kitu cha msingi Sana mkuu. Naomba nijazilizie.

Sasa hivi Kuna wasanii wachache hapa wanaowaabudu wanigeria na mziki wao, Hao ndo wanaitwa "International". Ila bongo fleva as an industry bado ni very local.

We need to move as an industry sio mtu mmoja mmoja. Ndo maana konde msanii wake Ibrah anadondosha EP yake ya Kwanza tu but kamjazia makolabo ya wanaijeria kama Yote. Siyo kitu kibaya. Ila ikifikia point ambayo Kiba au Marioo wanatoa nyimbo kwa kiswahili Tena kwa tone ya bongo fleva pure wanaijeria, Malawi na mashabiki wa nchi nyingine wanaikubali hapo ndo tunaeza Sema tumeenda kimataifa.

Ndo maana msanii km Burna(Odogwu) au Niniola anaeza akaachia nyimbo mwanzo mwisho kaimba kiyoruba ila wabongo tumo tu. They moved as an industry.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom