joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Swali zuri sana hilo la kumuuliza Hanscana, kama ikiwezekana Darassa aongee na Seven yule demu yupo vizuri na mziki wa Afrika anaujua sana,anaweza akampush mpaka level za juu.Hili ni tatizo la kusimamiana kishikaji sabab hascan ndo anamsimamia darasa sasa hapo tutajiuliza je hascan anauelewa gani kwenye maswala ya usimamizi wa wasanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Ali Kiba ni usalama wa what?
Darassa mbona yupo vizuri ila ana kosa Management basi ngoma ya mziki ni kubwa sana ila haijapushiwa sana na hii I like it bonge la nyimbo,hata ukiangalia ktk channel kubwa za kimataifa inapata airtime ya kutosha.
Swali zuri sana hilo la kumuuliza Hanscana, kama ikiwezekana Darassa aongee na Seven yule demu yupo vizuri na mziki wa Afrika anaujua sana,anaweza akampush mpaka level za juu.
Hanscana atamchelewesha.
Wewe utakuwa mgeni wa hili jukwaa
Ok akae apo apo tu pamemtoshaMtoa mada hujui mziki Mondi na Harmonize wanaimba taste za kinaijeria ambazo wanaijeria walizipigania na zimefanikiwa ndiyo maana unahisi Mond na Harmonize wamefanikiwa ndiyo wamefanikiwa kwa kuimba taste za watu wengine Alikiba anakomaaa na bongo fleva na uwezo wa Alikiba ndiyo uwezo wa bongo fleva.
Honestly bongo fleva haijapga hatua saaaan ndiyo maani Alikiba hajapiga hatua
Kuhusu matangazo Alikiba alisema matangazo yanakuj tatizo Bei
Sent using Jamii Forums mobile app
FactHapo unaposema "matangazo mengi yanakuja tatizo bei "
Mkuu bei kama za matangazo ya benki, makampuni ya simu, vinywaji n.k ni ndogo kiasi hicho? Hujui kwamba unapopata tangazo ambalo linakutambulisha kwako pia inakuwa platform ya kusikika zaidi.
Makampuni yanaangalia mtu ambaye amechangamka na anafuatiliwa hawawezi kumpa tangazo mtu ambaye ni mzembe na hana jitihada.
Hiyo kauli ya kusema matangazo hayana bei ni kauli za mkosaji
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
samahani wadau ktk kipindi hiki cha mfungo lakini lazima niseme;
mashabiki wa diamond ni washamba na waswahili sana......na wengi wao inaonekana ni wacheza vigodoro (wapenda matusi matusi na ni kama wachawi wachawi hiviii). diamond amewajua na ndo maana anahakikisha ktk nyimbo zake nyingi maneno km 'nikusafishe mtaro', 'panua nikupachike rungu', 'nionyeshe hicho alichokupa mama' n.k yanakuwepo ili kuwakamata hawa waswahili.....ikumbukwe, dunia hii 'watwana' ni wengi kuliko 'waungwana'. msishangae kuona kelele niyiingi kwa kila kitu afanyacho diamond, waswahili mtawaweza wapi kwa kelele......hawajui maana nyingine ya muziki zaidi ya kuruka ruka na kutukana. na msishangae kwa kupondwa kwa kila kitu afanyacho alikiba; waswahili utawaweza wapi kwa kuchamba na umaskini jeuri! great thinker atanielewa hapa.
siwezi kuzungumzia sana kuhusu hayo masuala ya mikataba na makampuni mbalimbali lkn nijuacho ni kuwa kila mtu na namna yake ya kuishi.....kiba aliibuliwa na muziki na anaendeleza muziki wake mpaka sasa, ndio chanzo chake kikuu cha ugali. waswahili wanakesha kumuombea mabaya lakini yupo tu.
tuache hayo, hivi mnajua kuwa Diamond anaisikiliza 'Dodo' kwa kwenda mbele?!!! na sijui kama haitopigwa nyimbo hiyo siku ya harusi yake. utapiga nyimbo gani zaidi?
Nyakati zimebadilika nae anatakiwa abadilike mfano mond angekua nae anaimba kama zamani nani angekua anaijua Tz ? Msanii wenu amefeli kwenda na ushindani wa soko la kimataifa hilo tu.samahani wadau ktk kipindi hiki cha mfungo lakini lazima niseme;
mashabiki wa diamond ni washamba na waswahili sana......na wengi wao inaonekana ni wacheza vigodoro (wapenda matusi matusi na ni kama wachawi wachawi hiviii). diamond amewajua na ndo maana anahakikisha ktk nyimbo zake nyingi maneno km 'nikusafishe mtaro', 'panua nikupachike rungu', 'nionyeshe hicho alichokupa mama' n.k yanakuwepo ili kuwakamata hawa waswahili.....ikumbukwe, dunia hii 'watwana' ni wengi kuliko 'waungwana'. msishangae kuona kelele niyiingi kwa kila kitu afanyacho diamond, waswahili mtawaweza wapi kwa kelele......hawajui maana nyingine ya muziki zaidi ya kuruka ruka na kutukana. na msishangae kwa kupondwa kwa kila kitu afanyacho alikiba; waswahili utawaweza wapi kwa kuchamba na umaskini jeuri! great thinker atanielewa hapa.
siwezi kuzungumzia sana kuhusu hayo masuala ya mikataba na makampuni mbalimbali lkn nijuacho ni kuwa kila mtu na namna yake ya kuishi.....kiba aliibuliwa na muziki na anaendeleza muziki wake mpaka sasa, ndio chanzo chake kikuu cha ugali. waswahili wanakesha kumuombea mabaya lakini yupo tu.
tuache hayo, hivi mnajua kuwa Diamond anaisikiliza 'Dodo' kwa kwenda mbele?!!! na sijui kama haitopigwa nyimbo hiyo siku ya harusi yake. utapiga nyimbo gani zaidi?
Sizitaki mbichi hiziMtoa mada hujui mziki Mondi na Harmonize wanaimba taste za kinaijeria ambazo wanaijeria walizipigania na zimefanikiwa ndiyo maana unahisi Mond na Harmonize wamefanikiwa ndiyo wamefanikiwa kwa kuimba taste za watu wengine Alikiba anakomaaa na bongo fleva na uwezo wa Alikiba ndiyo uwezo wa bongo fleva.
Honestly bongo fleva haijapga hatua saaaan ndiyo maani Alikiba hajapiga hatua
Kuhusu matangazo Alikiba alisema matangazo yanakuj tatizo Bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako kama mashabiki wa jiweMashabiki wengi wa Alikiba ndio wanaompoteza jamaa yao yaani kunamuda mwingine anaboronga ila bado wanamsifia... eti yoooh ..ndio nini sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini umetoa siri ya kambi?Kama uwelewi asilimia kubwa wanaosema Kiba apendi show off si mashabiki wa kiba,na mshabiki wa kiba hawawezi kuongea hizo kauli unazaona Ni za kumkejeli Alikiba wanatumia Kama nukuu na hiyo imekuja Ni pale Alikiba aliwahi kusema alikuwa na record label hapo zamani mtangazaji akamuuliza mbona atujawahi kuisikia kiba akajibu sipendi show off ndo maana ukuisikia, mtangazaji ikabidi acheke tokea hapo hiyo kauli imetumika Kama kumkejeli Alikiba ndomaana unaweza ukasikia kiba Ni tajili number 1 Tz kuliko hata mo Ila apendi show off
Mtoa mada hujui mziki Mondi na Harmonize wanaimba taste za kinaijeria ambazo wanaijeria walizipigania na zimefanikiwa ndiyo maana unahisi Mond na Harmonize wamefanikiwa ndiyo wamefanikiwa kwa kuimba taste za watu wengine Alikiba anakomaaa na bongo fleva na uwezo wa Alikiba ndiyo uwezo wa bongo fleva.
Honestly bongo fleva haijapga hatua saaaan ndiyo maani Alikiba hajapiga hatua
Kuhusu matangazo Alikiba alisema matangazo yanakuj tatizo Bei
Sent using Jamii Forums mobile app
hiv umeelewa kweli kinachosemewa apo juu? na mashaka na uwezo wako Wa kufikiriMtoa mada hujui mziki Mondi na Harmonize wanaimba taste za kinaijeria ambazo wanaijeria walizipigania na zimefanikiwa ndiyo maana unahisi Mond na Harmonize wamefanikiwa ndiyo wamefanikiwa kwa kuimba taste za watu wengine Alikiba anakomaaa na bongo fleva na uwezo wa Alikiba ndiyo uwezo wa bongo fleva.
Honestly bongo fleva haijapga hatua saaaan ndiyo maani Alikiba hajapiga hatua
Kuhusu matangazo Alikiba alisema matangazo yanakuj tatizo Bei
Sent using Jamii Forums mobile app