samahani wadau ktk kipindi hiki cha mfungo lakini lazima niseme;
mashabiki wa diamond ni washamba na waswahili sana......na wengi wao inaonekana ni wacheza vigodoro (wapenda matusi matusi na ni kama wachawi wachawi hiviii). diamond amewajua na ndo maana anahakikisha ktk nyimbo zake nyingi maneno km 'nikusafishe mtaro', 'panua nikupachike rungu', 'nionyeshe hicho alichokupa mama' n.k yanakuwepo ili kuwakamata hawa waswahili.....ikumbukwe, dunia hii 'watwana' ni wengi kuliko 'waungwana'. msishangae kuona kelele niyiingi kwa kila kitu afanyacho diamond, waswahili mtawaweza wapi kwa kelele......hawajui maana nyingine ya muziki zaidi ya kuruka ruka na kutukana. na msishangae kwa kupondwa kwa kila kitu afanyacho alikiba; waswahili utawaweza wapi kwa kuchamba na umaskini jeuri! great thinker atanielewa hapa.
siwezi kuzungumzia sana kuhusu hayo masuala ya mikataba na makampuni mbalimbali lkn nijuacho ni kuwa kila mtu na namna yake ya kuishi.....kiba aliibuliwa na muziki na anaendeleza muziki wake mpaka sasa, ndio chanzo chake kikuu cha ugali. waswahili wanakesha kumuombea mabaya lakini yupo tu.
tuache hayo, hivi mnajua kuwa Diamond anaisikiliza 'Dodo' kwa kwenda mbele?!!! na sijui kama haitopigwa nyimbo hiyo siku ya harusi yake. utapiga nyimbo gani zaidi?