Diamond na Harmonize wampe somo AliKiba

mnazidi bwana, kwanini mhangaishwe na 'ASIYEJUA' kiasi hicho tena kwa miaka mingi tu sasa?!!!! mbona mwenyewe anaonekana amerelax sana na hata hajaomba msaada!

haya endeleeni kuinjoy hayo matusi yenu,🀣🀣🀣 siye tupo na 'Dodo' huku tunajisikilizia na wapendwa wetu!
 
Nyakati zimebadilika nae anatakiwa abadilike mfano mond angekua nae anaimba kama zamani nani angekua anaijua Tz ? Msanii wenu amefeli kwenda na ushindani wa soko la kimataifa hilo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
acheni undumi la kuwili, hapa bongo tu mnampiga vita hivyo je angekuwa na huko kimataifa yuko njema zaidi si mngeenda kuwakodi M23 wammalize!!! mnaifuatilia, kiroho mbaya, kila hatua anayopiga.
 
King anabebwa na fans na ndo mtu aliekuwa ananufaika zaidi na ule upinzani na Simba kabla ya Tembo kuja kuchukua nafasi yake
sina ufahamu mzuri sana lkn ni kama nina haya mawili niyajuayo;

1. diamond na kina harmonize (enzi hizo) na kundi lake ndiyo waliokuwa wanaongoza kumpiga vijembe kiba kila anapotoa kazi...2016, 2017, 2018 n.k. sijawahi kumsikia kiba akiongea chochote kibaya au kutoa vijembe vya kiswahiliswahili kuhusu kazi za diamond na watu wake.

2. ukiangalia nyimbo nyingi za kiba, zile za zamani na hata za sasa, zina wastani wa watazamaji 4M-7M.......maisha yake yamekuwa hivyo ya kimuziki. alibebwa lini na kivipi na hiyo chuki aliyonayo diamond & co. dhidi yake?!!!
 
Seven mosha mpk leo kwenye pinned post yake twitter kaweka siku kiba alivyo lamba dili la sony music lakin huyu manager wa sasa pinned post kaweka biashara yake ya nguo za mtumba.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mfalme juha anawazidi hao wote ila siyo mtu wa show off

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe pia utafute mwalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba msimu uliopita alikuwa mdhamini wa Coastal union timu ya VPL sasa kama anaweza kudhamini timu kongwe kama Coastal union anawezaje kuwa balozi wa kampuni nyingine...kuweni na adabu kwa King
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…