mnazidi bwana, kwanini mhangaishwe na 'ASIYEJUA' kiasi hicho tena kwa miaka mingi tu sasa?!!!! mbona mwenyewe anaonekana amerelax sana na hata hajaomba msaada!Kamwambie, Mbagala, Nataka kulewa, Moyo wangu, Lala salama, Nitarejea, Binadamu wabaya, Nitampata wapi, Kesho, My number one, Mapenzi basi, Utanipenda.
Nikweli anaimba matusi now days kwaajili yetu ss waswahili na indeed tuna enjoy, but ata nyie wastaarabu sio kwamba amewatupa kuna vitu konki hvo api visivo chuja, kazi kwako..
Sent using Jamii Forums mobile app
haya endeleeni kuinjoy hayo matusi yenu,🤣🤣🤣 siye tupo na 'Dodo' huku tunajisikilizia na wapendwa wetu!