Diamond na Harmonize wampe somo AliKiba

Diamond na Harmonize wampe somo AliKiba

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Huu ni ukweli unaomiza tumeshamuona Diamond akipiga hatua kumi mbele ya Alikiba akaja akamtoa kijana Harmonize ambaye nae amepiga hatua tano mbele kwa Alikiba.

Hapa nazungumzia hatua za kimuziki, shows, mauzo ya nyimbo kwenye platform mbalimbali tukiende kwa Diamond yeye ameenda mbele zaidi kwakua mfanyabiashara anayemiliki online media, radio station, television na pia kampuni ya utengenezaji video Zoom extra.

Kwenye masuala ya kuwa balozi kwenye makampuni makubwa Diamond yupo mbele zaidi akifuatiwa na Harmonize ambaye yeye ni balozi wa makampuni ya Sayona drinks na leo ametangazwa kuwa balozi wa CRDB bank .

Ushauri wangu kwa Alikiba inabidi ajifunze kwa hawa vijana wenzake tena ikibidi akaombe darasa apigwe msasa yeye na mameneja wake.
 
Mtoa mada hujui mziki Mondi na Harmonize wanaimba taste za kinaijeria ambazo wanaijeria walizipigania na zimefanikiwa ndiyo maana unahisi Mond na Harmonize wamefanikiwa ndiyo wamefanikiwa kwa kuimba taste za watu wengine Alikiba anakomaaa na bongo fleva na uwezo wa Alikiba ndiyo uwezo wa bongo fleva.

Honestly bongo fleva haijapga hatua saaaan ndiyo maani Alikiba hajapiga hatua

Kuhusu matangazo Alikiba alisema matangazo yanakuj tatizo Bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unaposema "matangazo mengi yanakuja tatizo bei "

Mkuu bei kama za matangazo ya benki, makampuni ya simu, vinywaji n.k ni ndogo kiasi hicho? Hujui kwamba unapopata tangazo ambalo linakutambulisha kwako pia inakuwa platform ya kusikika zaidi.

Makampuni yanaangalia mtu ambaye amechangamka na anafuatiliwa hawawezi kumpa tangazo mtu ambaye ni mzembe na hana jitihada.

Hiyo kauli ya kusema matangazo hayana bei ni kauli za mkosaji

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Hivi unaelewa maana ya kuwa balozi wa kitu we jamaa, kuwa balozi ni kutangaza bidhaa au kampuni au kitu kilicho lengwa kwa watu wako kutokana na ushawishi ulio nao katika jamii Sasa unaposema hapendi show off sijakuelewa kabisa Sasa anatangazaje hizo kampuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye Alikiba mfumo wake upo hivyo pia ni usalama wa Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KingKiba ni balozi wa kampuni nyingisana ndani na nje ya nchi sema hapendagi tu show-off

Sent using Jamii Forums mobile app
huo ndio utetezi wenu "hapendangi ku-showoff".

hivi kweli let say uwe balozi wa kampuni X inayotengeneza viberiti halafu hupendi watu waone kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii?. hizo akili matope?.

utatangaza vipi product za kampuni husika bila watu kuona.

ukweli ni kwamba, kiba hana lolote.
 
huo ndio utetezi wenu "hapendangi ku-showoff".

hivi kweli let say uwe balozi wa kampuni X inayotengeneza viberiti halafu hupendi watu waone kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii?. hizo akili matope?.

utatangaza vipi product za kampuni husika bila watu kuona.

ukweli ni kwamba, kiba hana lolote.
kiufupi kiba hapendi watu wajue ata kuwa ni msanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huo ndio utetezi wenu "hapendangi ku-showoff".

hivi kweli let say uwe balozi wa kampuni X inayotengeneza viberiti halafu hupendi watu waone kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii?. hizo akili matope?.

utatangaza vipi product za kampuni husika bila watu kuona.

ukweli ni kwamba, kiba hana lolote.
Huo ndo ukwel ndo maan makampun hayamfuat kumpa mikataba sabb jamaa mwenyew amebweteka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom