Diamond na Mafikizolo kuandika rekodi nyingine Afrika

here we gow!wcb is about to burst out your speakers.
 
Diamond ndio msanii bora kabisa kwa sasa Africa. Imagine Mafikizolo wako over excited kufanya nae kazi sio kitu kidogo. Kwa kweli hana mpinzani Africa kapokea kijiti cha P square.
 
Mtoa mada kuna sehemu umesema Video ya Make me sing ilivunja record ya kutazamwa huko South Africa unamaanisha inaizidi hii ya Tchelete?

 


Ivi lugumi ndo nani

Na ishu ya mkataba wake na jeshi la polisi ingefikia wapi ningependa kujuzwa
 
Chibbu atakuwa mtu wa tuzi sana, yuko fit sana.
 
Acheni huyu Dai ashine tu jmn,he's soo humble
mlinda tembo ana hashuo sana,siku moja nliangalia interview yake na Millard nliishia katikati
 
Wimbo wa make me sing kuna siku nilienda mmi shop pale masaki nikakuta mzungu anaucheza hui wimbo.....dah nikasema dogo kwa kweli unapendwa......nyimbo nzuri kwa kweli anajitahidi.
 
Mtoa mada kuna sehemu umesema Video ya Make me sing ilivunja record ya kutazamwa huko South Africa unamaanisha inaizidi hii ya Tchelete?

View attachment 339996
Hujaelewa mkuu!!
Ni hivi Katika nyimbo zote zilizowahi kutoka nchini SA hakuna nyimbo ambayo ilifanikiwa kupata views Million 1 YouTube ndani ya mda mchache tu wa siku 10.!! Make me sing ndio umekuwa wimbo wa kwanza kuweka rekodi hiyo SA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…