Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Collabo ya Diamond na Mafiizolo ambayo inatoka hivi aribuni mwezi huu inategemewa kumfikisha mbali zaidi Diamond.
![]()
Kwa mtazamo wangu hii video na wimbo kwa ujumla itaweka rekodi mpya ya views kwenye youtube na Tvs, rotation kwenye radio za afrika na shows kubwa zaidi kuendelea kumwandama Diamond. Kumbukeni wimbo wa make me sing aliofanya na AKA umeandika rekodi ya kutazamwa na watu wengi zaidi huko Afrika Kusini kwa muda mfupi tangia itoke ni rekodi ambayo haikuwai kutokea SA.
![]()
Big up kwa Dangote tunategemea makubwa zaidi kutoka kwako haswa tukiona jinsi Mafikizolo wanavyoipa uzito hii ngoma tofauti kabisa na kawaida yao. Endelea kututangazia BongoFleva.
![]()
![]()
Hujaelewa mkuu!!Mtoa mada kuna sehemu umesema Video ya Make me sing ilivunja record ya kutazamwa huko South Africa unamaanisha inaizidi hii ya Tchelete?
View attachment 339996