Diamond na Nandy miongoni mwa wasanii watakaohojiwa na Idris Elba

Naona mziki wetu unapiga hatua kubwa sana.Idris Elba Ni muigizaji mkubwa Sana duniani kuhojiwa na mtu Kama huyu ni hatua kubwa lakini nitoe pongezi kwa nandy kwa hatua aliyofikia si mchezo especially ukizingatia Ni mtoto wa kike.
 
' Nitoepokezi ' ni kilugha gan hiki mkuu..
Naona mziki wetu unapiga hatua kubwa sana.Idris Elba Ni muigizaji mkubwa Sana duniani kuhojiwa na mtu Kama huyu ni hatua kubwa lakini nitoepokezi kwa nandy kwa hatua aliyofikia si mchezo especially ukizingatia Ni mtoto wa kike.
 
Tatizo Ali Kiba hajui kizungu ndio maana hapendi show off za kuhojiwa na hao watu wa kutoka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…