Diamond na Nandy miongoni mwa wasanii watakaohojiwa na Idris Elba

Diamond na Nandy miongoni mwa wasanii watakaohojiwa na Idris Elba

Nandy mpambanaji sana. Sema ukiwa mpambanaji alafu ukajiingiza kwenye ndoa mapema lazma ulost tu. Akiruhusu ndoa na billnass mapema hivi ajue mapenzi yatazidi nguvu na kumpoteza kwenye muziki. Mwenzie v money kaacha mziki yupo bize na bologna.
Lin vee money alisema kaacha mziki? Yupo likizo anafurahia mema ya uumbaji wa mola, then ataendelea na game km kawaida. Acha kupotosha weee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nandy anahojiwa kubalansi mzani toka ukanda huu! kimataifa nandy afrika mashariki hajakamata hata 3/10 ya soko! Na bahati imemuangukia kuwa angalau yeye ndiye msanii wa kike kidogo anasikika ndani east afrika kwa hiyo sehemu ndogo...
Simkubali Vanessa, sio shabiki wake ila yuko juu ya Nandy!
Vanessa usimfananishe na nandy hat kidogo, hat nandy analijua hilo kuwa kaachwa miles nyingi na vee mapesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comments za wabongo hatari sana hasa ikija issue ya mond na kiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba kama CHADEMA nashangaa hajui kuimba ila jamaa macho yanawatoka nlidhani baada ya kondeboy kujitoa ndo atachukua hiyo nafasi ya kulinganishwa na mvaa vikuku kumbe bado Kiba anawaumiza kichwa...huyu jamaa anawanyima sana wana usingizi..na wanamfatilia to the extent Mr 0 following, nkajua mtataja NAVY KENZO,JUX nk bt bado KIBA?..hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom