Diamond na Nandy miongoni mwa wasanii watakaohojiwa na Idris Elba

Diamond na Nandy miongoni mwa wasanii watakaohojiwa na Idris Elba

Mbona Alli kiba alihojiwa na Diva haikuwa habari kubwa kiivyo..?
Soon na sisi tutahojiwa na Idris sultan
 
Nilisikiliza interview ya alikiba juzi kwenye XXL,jamaa zero kabisa..yaani hajui kujielezea kabisa..sasa angeenda huko kuhojiwa kimombo si ingekuwa kasheshe
 
kingi nae yupo kwa listi sema kawaambia wasimtaje coz hapendi show off
 
kingi nae yupo kwa listi sema kawaambia wasimtaje coz hapendi show off
 
Write your reply...MFALME WA KARIAKOO HAPENDAGI SHOW OFF HALAFU SAHIVI MSIMUONE KIMYA YULE YUPO UNDERCOVER NI CIA SPECIAL FORCE AGENT SEMA HAPENDI WATU WAJUE
 
Nandy mpambanaji sana. Sema ukiwa mpambanaji alafu ukajiingiza kwenye ndoa mapema lazma ulost tu. Akiruhusu ndoa na billnass mapema hivi ajue mapenzi yatazidi nguvu na kumpoteza kwenye muziki. Mwenzie v money kaacha mziki yupo bize na bologna.
 
Naona mziki wetu unapiga hatua kubwa sana.Idris Elba Ni muigizaji mkubwa Sana duniani kuhojiwa na mtu Kama huyu ni hatua kubwa lakini nitoe pongezi kwa nandy kwa hatua aliyofikia si mchezo especially ukizingatia Ni mtoto wa kike.
Nandy anahojiwa kubalansi mzani toka ukanda huu! kimataifa nandy afrika mashariki hajakamata hata 3/10 ya soko! Na bahati imemuangukia kuwa angalau yeye ndiye msanii wa kike kidogo anasikika ndani east afrika kwa hiyo sehemu ndogo...
Simkubali Vanessa, sio shabiki wake ila yuko juu ya Nandy!
 
Nilisikiliza interview ya alikiba juzi kwenye XXL,jamaa zero kabisa..yaani hajui kujielezea kabisa..sasa angeenda huko kuhojiwa kimombo si ingekuwa kasheshe
Kwani unajua Leo kiba kwenye interview Ni zero Kuna kipindi nyuzi nyingi ziliazishwa na wadau kuhusu interview za alikiba kuwa miyeyusho.
 
Back
Top Bottom