[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Mwenzanguuuu
Good thing hainaga makomboEehh!kwani inaisha ilee[emoji1] [emoji1] [emoji1] !!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mama watoto sita jamaniii na ana ujukuuu mtoto wa kwanza anaitwa jamilaaSasa unamuita mzee kwa kigezo gani?? Ina maana kazeeka mno miaka 34?? Acheni chuki. Halaf naona waschana wengi mnamuandama huyu inocent speechless girl
Wafuga six packs???[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntakupa wa diva the base aliyemtema awe wako!
Hahahah yule dogo namjua,nlisoma nae!Ntakupa wa diva the base aliyemtema awe wako!
Ninaloweka povu nitumie shoga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mama watoto sita jamaniii na ana ujukuuu mtoto wa kwanza anaitwa jamilaa
Speecheless girl[emoji1] [emoji1] [emoji1] who?
Nimejikuta Nacheka TuiiiHahahahahah ninunulie benten madam na mimi nitese mjini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] six packs hutakiii?Wafuga six packs???[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nataka wafuga corolla na nyumba, team uhenga mkuu Niko hapa hawa wavaa pampasi wanawezwa na strong woman au bosslady [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ongeza siku mkuuNimejikuta Nacheka Tuiii
Hahahahahah sitakiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] six packs hutakiii?
Yeah ni kweli,utupe mrejesho if anything ikihappenYap!and am human being too! Anything can happen!!!
Habari ndo hyo,vp nkupe namba zake?[emoji3] [emoji1] [emoji1] whaaat?!!!
Putin acha utani. Diamond hamsumbui Zari? Ni mwanamke bora labda kwa kutafuta hela (usiniulize zipi) ila kimapenzi ni mnyonge kama tulivyo wanawake wengi.After all , Zarieth atabaki kua Mwanamke Bora sana ,, mwanamke mwenye nguvu ya kuhoji ? Mwanamke mwenye mawazo huru!!!.
Ujue ukishakua namaisha yako wewe km mwanamke ,ukawa na Maisha independent ,, Mwanamme hatokaa akusumbue hata km mmezaaa watoto, hawezi kukusumbua kamwe !....lkn km unasumbuliwa na Ulimbukeni nilazima uwe km yalivyo.
Shout out kwako Zarieth !!!!!
Wivu tu hamna la ziadaSasa unamuita mzee kwa kigezo gani?? Ina maana kazeeka mno miaka 34?? Acheni chuki. Halaf naona waschana wengi mnamuandama huyu inocent speechless girl