Diamond na Tunda mahaba niue

Diamond na Tunda mahaba niue

67f09bba645715e9796ec5835585109e.jpg
 
Sasa unamuita mzee kwa kigezo gani?? Ina maana kazeeka mno miaka 34?? Acheni chuki. Halaf naona waschana wengi mnamuandama huyu inocent speechless girl
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mama watoto sita jamaniii na ana ujukuuu mtoto wa kwanza anaitwa jamilaa

Speecheless girl[emoji1] [emoji1] [emoji1] who?
 
Ntakupa wa diva the base aliyemtema awe wako!
Wafuga six packs???[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mi nataka wafuga corolla na nyumba, team uhenga mkuu Niko hapa hawa wavaa pampasi wanawezwa na strong woman au bosslady [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mama watoto sita jamaniii na ana ujukuuu mtoto wa kwanza anaitwa jamilaa

Speecheless girl[emoji1] [emoji1] [emoji1] who?
Ninaloweka povu nitumie shoga
 
Wafuga six packs???[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mi nataka wafuga corolla na nyumba, team uhenga mkuu Niko hapa hawa wavaa pampasi wanawezwa na strong woman au bosslady [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] six packs hutakiii?
 
After all , Zarieth atabaki kua Mwanamke Bora sana ,, mwanamke mwenye nguvu ya kuhoji ? Mwanamke mwenye mawazo huru!!!.

Ujue ukishakua namaisha yako wewe km mwanamke ,ukawa na Maisha independent ,, Mwanamme hatokaa akusumbue hata km mmezaaa watoto, hawezi kukusumbua kamwe !....lkn km unasumbuliwa na Ulimbukeni nilazima uwe km yalivyo.

Shout out kwako Zarieth !!!!!
Putin acha utani. Diamond hamsumbui Zari? Ni mwanamke bora labda kwa kutafuta hela (usiniulize zipi) ila kimapenzi ni mnyonge kama tulivyo wanawake wengi.
Diamond anamfanyia vitu vingi sana vya dharau ila anaogopa kuondoka sababu ya umaarufu. Wanaume wanacheat inajulikana ila baada ya kumjua mchepuko na bado akaendeelea nae ni kujitafakari hapo. Sasa alikua na vita na Hamisa sasa hivi akaendeleze vita kwa mwanae wa kumzaa Tunda. Kwa umri wake alitakiwa atulie tulii hata diamond anavyomcheat hasemu neno watu tungemuona kweli mwanamke wa shoka. Ila kuanza kushindana na wanawake wa nje haikutofautishi wewe na wao.
Diamond mwenzie damu inachemka na hela ndo inaingia kila siku sasa aendelee kulambana nae atukomeshe wambea ila hataacha mwenzie anayoyafanya.
 
Back
Top Bottom