Diamond na Wasafi Media ni wanyonyaji sana

Wapi nimeongelea pesa m900!!! Nimegusia namna youtuber yoyote yule mahesabu ya pesa zake zinapigwa main point ilikuwa kuna vigezo zaidi ya no of viewers.. Sizungumzii pesa ya mtu
Wewe umezungumzia mahesabu mada yetu kuu inaeleza kuhusu 900 millions swali langu kwako unaamini Harmonize kapata hizo million 900?

Tusogee mbele hata kwa baba yake Diamond unaamini amewahi kupata hizo pesa kwa views tu?
Kama wamewahi sasa kwanini wanafanya show za bei rahisi hivyo ambazo kwa mwaka mzima wakifanya majumuisho haifiki hata robo ya million 900?
 
Mi namshangaa Jiwe tu, anawashawishi watu wajazane makanisani kuombea Corona lakini yeye kanisani haonekani. Anajifanya yeye Don King, anaandaa mpambano kisha anakaa pembeni kuangalia.
 
MIMI NA BISHA NA SUBIRIA USHAHIDI.

"Msanii anapiga show analipwa asimilia 40 ya show, kwa kigezo eti tulikutoa. Mapato ya You tube unapewa 40 percent. Harmonize youtube yake tu aliingiza zaidi ya Millioni 900 za kitanzania lakini hata millioni 100 hakulamba kwenye youtube, Ukibsha naweka ushaidi."
Labda awadanganye akina Robidinyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umezungumzia mahesabu mada yetu kuu inaeleza kuhusu 900 millions swali langu kwako unaamini Harmonize kapata hizo million 900?

Tusogee mbele hata kwa baba yake Diamond unaamini amewahi kupata hizo pesa kwa views tu?
Kama wamewahi sasa kwanini wanafanya show za bei rahisi hivyo ambazo kwa mwaka mzima wakifanya majumuisho haifiki hata robo ya million 900?
Tuoneshe ushahidi sio kubwabwaja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jonijo kaondoka nilijua lazima aondoke siku 1.

Pale Wasafi unachukua mshahara na huruhusiwi kuwa na YouTube channel, Jonijo alikuwa ana YouTube channel, sasa ameingia WASAFI akajua labda ataendeleza harakati zake akakutana don'ts nyingi ambazo hazipo kwenye Mkataba,. Times FM alipokuwepo Jonijo na Lil Ommy unaweza kuanzisha YouTube channel. Pale Mishahara midogo, wanapewa mishahara mikubwa ni wachache sana wengine wote uzushi tu, kajamaa kanajifanya kanasaidia jamii wakati hakalipi watumishi wake. Angalia hata wakina Iyobo ni maskini sana, kwa kazi wanazofanya bado wanalipwa laki 5 wengine 4.

Harmonize aliondoka kwa upuuzi kam huu, Msanii anapiga show analipwa asimilia 40 ya show, kwa kigezo eti tulikutoa. Mapato ya You tube unapewa 40 percent. Harmonize youtube yake tu aliingiza zaidi ya Millioni 900 za kitanzania lakini hata millioni 100 hakulamba kwenye YouTube, ukibsha naweka ushaidi.

Kituko kingine Rayvanny alitangaza anaenda nyumbani kwao mbeya kupiga show kwa kiingilio cha elfu 5..Diamond akatangaza Mbeya kiingilio bure..Unaambiwa gharama zote za Mbeya kuanzia uwanja..wasanii kuwalipia kila kitu amekatwa Rayvanny zaidi ya millioni 150. Yaani nitangaze show ya kiingilio uje useme ni bure then gharama zote akalipa Rayvanny.

Usione wasanii wa Wasafi wapo hivyo, hawana hela. Hivi unajua kwenye views millioni 1 za YouTube unapata km millioni 4.5 had -7.

Diamond umelalamika sana Ruge anakuonea mbona wewe hupigi nyimbo za Harmonize. Unasema Harmonize hapeleki nyimbo kwenu, vipi hao wakina Burna Boy wanapeleka nyimbo Wasafi?
kwenye hyo milioni 900 ya harmonise asilimia 40 haifiki milion 100....?
Hapa naomba ushahidi
 
Diamond umelalamika sana Ruge anakuonea mbona wewe hupigi nyimbo za Harmonize. Unasema Harmonize hapeleki nyimbo kwenu, vipi hao wakina Burna Boy wanapeleka nyimbo Wasafi?
Hii ingetosha kuwa hoja yako Boss.
Hizo takataka zingine ulizozitanguliza zimekufanya uonekane "mboyoyo" mingi.
 
Write your reply...PALE AMBAPO MFUASI WA KING ANAKUJA KUSHAMBULIA WASAFI NA STORY ZA KIJIWENI MARA PAAP ANAKUTANA NA GREAT THINKER UKICHEKI HANA EVIDENCE NA FACTS ZA MAANA

KIFUATACHO ANAKIMBIA UZI WAKE
kwahiyo hunu kila anayemponda domo ni mfuasi wa king.

huyu king inabidi aje aoe wasafi hapo maana dah!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa....wasajili ww uwalipe vizuri basi...
Unakuja kuwaka huku kama una undugu na wanaonyonywa....
Huyo harmonize kama alikua anajiweza angekaa kivyake....
Baada ya kubeeeebwa ndo anakuja kubwabwaja...
Watu bhana.....
Si bora hizo 40%
 
Jonijo kaondoka nilijua lazima aondoke siku 1.

Pale Wasafi unachukua mshahara na huruhusiwi kuwa na YouTube channel, Jonijo alikuwa ana YouTube channel, sasa ameingia WASAFI akajua labda ataendeleza harakati zake akakutana don'ts nyingi ambazo hazipo kwenye Mkataba,. Times FM alipokuwepo Jonijo na Lil Ommy unaweza kuanzisha YouTube channel. Pale Mishahara midogo, wanapewa mishahara mikubwa ni wachache sana wengine wote uzushi tu, kajamaa kanajifanya kanasaidia jamii wakati hakalipi watumishi wake. Angalia hata wakina Iyobo ni maskini sana, kwa kazi wanazofanya bado wanalipwa laki 5 wengine 4.

Harmonize aliondoka kwa upuuzi kam huu, Msanii anapiga show analipwa asimilia 40 ya show, kwa kigezo eti tulikutoa. Mapato ya You tube unapewa 40 percent. Harmonize youtube yake tu aliingiza zaidi ya Millioni 900 za kitanzania lakini hata millioni 100 hakulamba kwenye YouTube, ukibsha naweka ushaidi.

Kituko kingine Rayvanny alitangaza anaenda nyumbani kwao mbeya kupiga show kwa kiingilio cha elfu 5..Diamond akatangaza Mbeya kiingilio bure..Unaambiwa gharama zote za Mbeya kuanzia uwanja..wasanii kuwalipia kila kitu amekatwa Rayvanny zaidi ya millioni 150. Yaani nitangaze show ya kiingilio uje useme ni bure then gharama zote akalipa Rayvanny.

Usione wasanii wa Wasafi wapo hivyo, hawana hela. Hivi unajua kwenye views millioni 1 za YouTube unapata km millioni 4.5 had -7.

Diamond umelalamika sana Ruge anakuonea mbona wewe hupigi nyimbo za Harmonize. Unasema Harmonize hapeleki nyimbo kwenu, vipi hao wakina Burna Boy wanapeleka nyimbo Wasafi?
Jambo moja, unapoingia kufanya kazi sehemu ambayo ni rasmi huwa kunakuwa na mkataba na vigezo na masharti yake ambayo mtu hupaswa kuyafahamu kabla. Unapofikia hatua ya kusaini mkataba baada ya kukubaliana na vigezo na masharti yote huna wa kumlaumu labda kama yanayofanyika yapo nje ya mkataba.
 
Jamaa kaongea ukweli ambao Wafuasi wa Wcb hawataki kuusikia..

Wcb hamnamo Label mle ni janja janja nyingi..
 
Back
Top Bottom