Wewe umezungumzia mahesabu mada yetu kuu inaeleza kuhusu 900 millions swali langu kwako unaamini Harmonize kapata hizo million 900?Wapi nimeongelea pesa m900!!! Nimegusia namna youtuber yoyote yule mahesabu ya pesa zake zinapigwa main point ilikuwa kuna vigezo zaidi ya no of viewers.. Sizungumzii pesa ya mtu
Mkuu, sio simple hivi. Sio kabisa.ona views wa harmonize mpaka leo. Sasa gawanya kwa 1000 then zidisha mara elfu 4600 utajua harmonize anaingiza sh ngapi
View attachment 1435027
Hii kuku hiii tuiache tu inangiza watu mkengeChuki humuumiza anayeihifadhi....
Punguza hasira ofsa halafu rudia kusoma ulichokiandka°°°
Harmoniz kaingiza zaid ya mill 900 youtub....???
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda awadanganye akina RobidinyoMIMI NA BISHA NA SUBIRIA USHAHIDI.
"Msanii anapiga show analipwa asimilia 40 ya show, kwa kigezo eti tulikutoa. Mapato ya You tube unapewa 40 percent. Harmonize youtube yake tu aliingiza zaidi ya Millioni 900 za kitanzania lakini hata millioni 100 hakulamba kwenye youtube, Ukibsha naweka ushaidi."
Tuoneshe ushahidi sio kubwabwajaWewe umezungumzia mahesabu mada yetu kuu inaeleza kuhusu 900 millions swali langu kwako unaamini Harmonize kapata hizo million 900?
Tusogee mbele hata kwa baba yake Diamond unaamini amewahi kupata hizo pesa kwa views tu?
Kama wamewahi sasa kwanini wanafanya show za bei rahisi hivyo ambazo kwa mwaka mzima wakifanya majumuisho haifiki hata robo ya million 900?
Unaumwa syphilis akili zimeanza kuruka au ulilewa?
kwenye hyo milioni 900 ya harmonise asilimia 40 haifiki milion 100....?Jonijo kaondoka nilijua lazima aondoke siku 1.
Pale Wasafi unachukua mshahara na huruhusiwi kuwa na YouTube channel, Jonijo alikuwa ana YouTube channel, sasa ameingia WASAFI akajua labda ataendeleza harakati zake akakutana don'ts nyingi ambazo hazipo kwenye Mkataba,. Times FM alipokuwepo Jonijo na Lil Ommy unaweza kuanzisha YouTube channel. Pale Mishahara midogo, wanapewa mishahara mikubwa ni wachache sana wengine wote uzushi tu, kajamaa kanajifanya kanasaidia jamii wakati hakalipi watumishi wake. Angalia hata wakina Iyobo ni maskini sana, kwa kazi wanazofanya bado wanalipwa laki 5 wengine 4.
Harmonize aliondoka kwa upuuzi kam huu, Msanii anapiga show analipwa asimilia 40 ya show, kwa kigezo eti tulikutoa. Mapato ya You tube unapewa 40 percent. Harmonize youtube yake tu aliingiza zaidi ya Millioni 900 za kitanzania lakini hata millioni 100 hakulamba kwenye YouTube, ukibsha naweka ushaidi.
Kituko kingine Rayvanny alitangaza anaenda nyumbani kwao mbeya kupiga show kwa kiingilio cha elfu 5..Diamond akatangaza Mbeya kiingilio bure..Unaambiwa gharama zote za Mbeya kuanzia uwanja..wasanii kuwalipia kila kitu amekatwa Rayvanny zaidi ya millioni 150. Yaani nitangaze show ya kiingilio uje useme ni bure then gharama zote akalipa Rayvanny.
Usione wasanii wa Wasafi wapo hivyo, hawana hela. Hivi unajua kwenye views millioni 1 za YouTube unapata km millioni 4.5 had -7.
Diamond umelalamika sana Ruge anakuonea mbona wewe hupigi nyimbo za Harmonize. Unasema Harmonize hapeleki nyimbo kwenu, vipi hao wakina Burna Boy wanapeleka nyimbo Wasafi?
Hii ingetosha kuwa hoja yako Boss.Diamond umelalamika sana Ruge anakuonea mbona wewe hupigi nyimbo za Harmonize. Unasema Harmonize hapeleki nyimbo kwenu, vipi hao wakina Burna Boy wanapeleka nyimbo Wasafi?
Haya mahesabu kama yale ya kilimo cha tikiti au kuku kumiOna views wa Harmonize mpaka leo. Sasa gawanya kwa 1000 then zidisha mara elfu 4600 utajua harmonize anaingiza sh ngapi.
kwahiyo hunu kila anayemponda domo ni mfuasi wa king.Write your reply...PALE AMBAPO MFUASI WA KING ANAKUJA KUSHAMBULIA WASAFI NA STORY ZA KIJIWENI MARA PAAP ANAKUTANA NA GREAT THINKER UKICHEKI HANA EVIDENCE NA FACTS ZA MAANA
KIFUATACHO ANAKIMBIA UZI WAKE
Jambo moja, unapoingia kufanya kazi sehemu ambayo ni rasmi huwa kunakuwa na mkataba na vigezo na masharti yake ambayo mtu hupaswa kuyafahamu kabla. Unapofikia hatua ya kusaini mkataba baada ya kukubaliana na vigezo na masharti yote huna wa kumlaumu labda kama yanayofanyika yapo nje ya mkataba.Jonijo kaondoka nilijua lazima aondoke siku 1.
Pale Wasafi unachukua mshahara na huruhusiwi kuwa na YouTube channel, Jonijo alikuwa ana YouTube channel, sasa ameingia WASAFI akajua labda ataendeleza harakati zake akakutana don'ts nyingi ambazo hazipo kwenye Mkataba,. Times FM alipokuwepo Jonijo na Lil Ommy unaweza kuanzisha YouTube channel. Pale Mishahara midogo, wanapewa mishahara mikubwa ni wachache sana wengine wote uzushi tu, kajamaa kanajifanya kanasaidia jamii wakati hakalipi watumishi wake. Angalia hata wakina Iyobo ni maskini sana, kwa kazi wanazofanya bado wanalipwa laki 5 wengine 4.
Harmonize aliondoka kwa upuuzi kam huu, Msanii anapiga show analipwa asimilia 40 ya show, kwa kigezo eti tulikutoa. Mapato ya You tube unapewa 40 percent. Harmonize youtube yake tu aliingiza zaidi ya Millioni 900 za kitanzania lakini hata millioni 100 hakulamba kwenye YouTube, ukibsha naweka ushaidi.
Kituko kingine Rayvanny alitangaza anaenda nyumbani kwao mbeya kupiga show kwa kiingilio cha elfu 5..Diamond akatangaza Mbeya kiingilio bure..Unaambiwa gharama zote za Mbeya kuanzia uwanja..wasanii kuwalipia kila kitu amekatwa Rayvanny zaidi ya millioni 150. Yaani nitangaze show ya kiingilio uje useme ni bure then gharama zote akalipa Rayvanny.
Usione wasanii wa Wasafi wapo hivyo, hawana hela. Hivi unajua kwenye views millioni 1 za YouTube unapata km millioni 4.5 had -7.
Diamond umelalamika sana Ruge anakuonea mbona wewe hupigi nyimbo za Harmonize. Unasema Harmonize hapeleki nyimbo kwenu, vipi hao wakina Burna Boy wanapeleka nyimbo Wasafi?
Hapa tanzania unaona label gani haina janja janja mkuu???Jamaa kaongea ukweli ambao Wafuasi wa Wcb hawataki kuusikia..
Wcb hamnamo Label mle ni janja janja nyingi..
Sawa gashoUkweli mtupu huu mweeeh, wapeeeeeee hao waeleweeeeeeh khaaah, domokaya n nwizi na jambazi km wengine tyuuuh
Sent using Jamii Forums mobile app