Diamond na Wasafi Media ni wanyonyaji sana

Huyu Mtoa mada ni mbumbumbu,hapo ukute hiyo laki 4 Anayopewa iyobo yeye hajawahi kuishika na bado anaishi kwakudandadanda masikini.Tafuta pesa nawe uwanyonye watu kama unavyodai mondi mnyonyaji kima wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bila kujali umeandika ukweli au uongo ,we ni mwandishi mzuri Sana , unastick kwenye point moja Kwa moja , ujumbe mfupi lakn umebeb content zote za mhimu ulizo kusudia kuziweka , kuna Mwingine akiandika Kona Kona nying , mara misemo kibao , ukurasa mrefu point unaiokota okota mwishoni , yaan kero kubwa , big up Sana mkuu
 
Kuwa serious mkuu mil900 kupitia youtube ujue si mchezo....
 
Hata wapiga ngoma wana kanuni zao
Ni jukumu lako kukubali au kukataa kufanya kazi wasafi
Kuna kampuni zingine ukikutwa tu umefungua internet unafukuzwa kazi
 
Kwani H. Baba mondi kakukosea nini!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada ulicho kiandika hukijui ingekuwa kuwa na viewer 1,000,000 tu unapata mihela kama ulivyo andika wewe watu wengi wangekuwa matajiri humu
 
Umeandika unachofikiria wewe bila kuwa na data zozote.

Ulipaswa kuwekwa facts hapa
Kwanza mikataba yao,
Pili wanaingiza kiasi gani
Tatu wasafi inawekeza kiasi gani kwenye kazi za hao wasanii
Ili uweze kuevaluate kama kuna unyonyaji ama LA.

Vinginevyo ni kelele tu.

Pia unachanganya habari, haieleweki haswa unalenga nini??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…