Diamond na Wasafi Media ni wanyonyaji sana

Umemmaliza kila kitu full stop Uzi ulitakiwa uishie hapa.
 
Question is Do you believe?
What are these unwanted words doing in your comment?
 
Sasa kwenye Mkataba kama hakuna kipengere cha kukukakatza wewe kuwa na yutyubu channel yako unaweweseka nini sasa,si ndio mahali pa kumkwara pesa huyo mwajiri wako akikuandikia barua ya kukuachisha kazi kwa sababu hizo?
 
Wivu utakuua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions from comments

1. Mashbaiki wengi wa diamond ni mashabiki maandazi yaani hamtaki jamaa yenu akosolewe, ushamba tu mmezidisha
2. naona watu wengi hamjui mapato ya youtube ya you tube yanavyopatikana, harmonize kafifkisha views zaidi ya millionn300..gawanya views kwa 1000 then zidisha na dollar 2 (4400) au 3 (6600) ni zaidi ya billioni 1. Poleni sana.
hivi mnajua Millard anaingiza zaidi ya billioni 3 kwa kwa mwaka kwa youtube tu.
 
Afu media yao ni ya kipuuz sana mara esma kanunua gari inakua hbr mara mama dangote kaachana na kiben ten nayo ni hbr on air..

Its not over until its over...[emoji769]
 
Propaganda zako kapeleke fb ndo mahala pake hili Ni jukwaa la great thinkers
 
Tunataka USHAHIDI,ambao wewe ulisema unao.

Alafi tuwekee na USHAHIDI wa MILLARD AYO.
 


naomba nikuulize, kwa promo hii anayopata zuchu, ungekuwa wewe ungemlipa shilingi ngapi kwa shoo? je akidai kuondoka atakulipa pesa ngapi? hivi zuchu bila wasafi namzidi nandy au kina vanessa?
 

umesema sawa, muulize jamaa kama anajua kuwa youtube inapata hela kwa tangazo. kama anajua muulize kwa nini halalamiki pale youtube wanapochukua 45% ya pesa yote ya matangazo wakati hawajatoa hata mia kugharimu pesa za kutengeza video
 
Clouds iliyochangamka iyo cause unatengeneza jina na umaarufu lakini mfukoni mtupu....
 
Clouds iliyochangamka iyo cause unatengeneza jina na umaarufu lakini mfukoni mtupu....
Kwani Clouds ni music label? Hivi kwanini wote waliosikika kunyonywa/kutapeliwa sijawahi sikia wakienda kushitaki hizi kampuni mahakamani? Wanapataje haki zao?
 
Wakiwa wanaingia hai watu huwa hawaioni hiyo mikataba? Au ni mpaka baadae ndo macho yanafunguka? ... kama kila kitu kipo kwenye mkataba kwann usikatae toka mwanzo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida wanaolaumu WASAFI wanasahau kuangalia LIFE BEFORE WASAFI na LIFE AFTER WASAFI plus uwekezaji waliofanya na ndio maana wanaona kama wanyonyaji wakati ukweli ni kwamba mtu alipoingia alikuwa hamna uhakika kama watatengeneza hela hivyo wanafanya uwekezaji then mtu anapata jina na kuanza kutengeneza hela ambazo kimsingi zinakuwa bado hazijarudishwa lakini wananzengo wanaishia kusema wanawanyonya.

Na wengi wanaosema hivyo hawajawahi hata kuingia mkataba wa ajira yoyote maana hata kwenye ajira za kawaida tu ili mtu aweze kuvunja mkataba anatakiwa atoe notice ya mwezi mmoja vinginevyo ili aondoke bila notice anatakiwa amlipe mwajiri mshahara wa mwezi mmoja, sasa sembuse mtu ambae amewekeza hela yako kwake yaani ni sawa na mtu akusomeshe degree miaka mitatu kwa lengo la kumfanyia kazi alafu from nowhere hata miaka miwili hujamaliza unataka kuondoka (hapo ndo watu wanakutana na vigezo na masharti wanaishia kulalamika wamenyonywa)

Mikataba huwa inajadilika hasa pale mtu anapoonyesha tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…