Diamond na wema sasa mapenzi yao ya kiutu uzima

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
54
Ni baada ya kukubaliana kuishi pamoja kama wapenzi wa muda mrefu ...



 

Attachments

  • 1392220465380.jpg
    56.4 KB · Views: 3,002
Wanakula ujana ila safari ndefu kama hawatajiweka vizuri, kuna mtu aliwahi kuwalamba mademu kibao enzi yupo kwenye pick lakini mtu huyo huyo baada ya 10 years hata akitokea mademu wanamkimbia na hata wale aliopita nao hawapo proud nae na amebaki na picha kibao na maneno tu "enzi zangu nilikuwa .....", hope vijana hawa wamehipanga na wanafanya mambo makubwa for future
 
Kawaida yao muda si mrefu kibuti
 
Aiseee
wagonjwa wa vichwa wanapo kutana mambo haya haribiki tena.

Ndio maana ni vyema wagonjwa waka kaa pamoja.
 
Nahisi kama wako pamoja not for true love but for show off tuu, wanapobaki wawili peek yao kunako, ni majanga!, kila mmoja ana yake, mmoja hakolei, mwingine alizoe kila aki.. anaachiwa 1.M!, dogo hana!.

Enzi za ujana wangu, nilikuwa na kuwa MC sana kwenye mashindano ya urembo inluding Miss TZ!, baada ya show, huwa tunawachukua the runners up na the loosers kuwa "console!', sasa sijui ni mimi tuu, kila siku nilikuta hawakoleagi kabisa!, waangalie hivyo hivyo na hivyo vijisura, body na shapes zao nzuri!, ni machoni tuu!. Asa a results kila nikiwaona hawa top beauties, reference yangu inanituma kwenye sifuri!. Dogo hajatulia!, mrembo hatatosheka na kwa kuzingatia mzazi amemfanya bintie ni "cash cow!", huku dogo yuko still attached to "mothers apron strings!" Sijui kama watadumu!.
Wish them all the best!.
Pasco.
 
Wabongo sijui ni mazuzu ama, kila siku Dayadomo huwa anaelezea kuwa mahusiano yao ni kwa ajili ya kuandikwa magazetini tu ili majina yao yasichuje...

Lakini bado hamuachi kupaka rangi upepo na kujiaminisha hao mazuzu ni wapendanao.
 

Hapo kwenye 'attached to mothers apron strungs'Nimecheka sana.....
Binafs i like them ila siwaamini.....Maybe Time Will Tell....
 
Mh...... mie huwa ninahisi kama hawa huwa wana kamisheni kwenye mauzo ya Shigongo. Sijui kwa nini nitahisi wataliibua tena

Niko pamoja na ww tena inawezakana mmoja wao ni marketing manager pale kwa Shigongo ila wanaficha maana chenji zetu za mboga zinaibiwa sn na ma-house girl wetu ili wasome hbr za hawa watu haziishi mm kwangu nikikuta hata kipande basi inabidi nipewe maelezo yakinifu upuuzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…