Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahaba waue
kuna mengine hayo mahaba nichane damu yangu niachie Heaven on Earth and HUNIJUI
Nahisi kama wako pamoja not for true love but for show off tuu, wanapobaki wawili peek yao kunako, ni majanga!, kila mmoja ana yake, mmoja hakolei, mwingine alizoe kila aki.. anaachiwa 1.M!, dogo hana!.
Enzi za ujana wangu, nilikuwa na kuwa MC sana kwenye mashindano ya urembo inluding Miss TZ!, baada ya show, huwa tunawachukua the runners up na the loosers kuwa "console!', sasa sijui ni mimi tuu, kila siku nilikuta hawakoleagi kabisa!, waangalie hivyo hivyo na hivyo vijisura, body na shapes zao nzuri!, ni machoni tuu!. Asa a results kila nikiwaona hawa top beauties, reference yangu inanituma kwenye sifuri!. Dogo hajatulia!, mrembo hatatosheka na kwa kuzingatia mzazi amemfanya bintie ni "cash cow!", huku dogo yuko still attached to "mothers apron strings!" Sijui kama watadumu!.
Wish them all the best!.
Pasco.
Aiseee
wagonjwa wa vichwa wanapo kutana mambo haya haribiki tena.
Ndio maana ni vyema wagonjwa waka kaa pamoja.
Mh...... mie huwa ninahisi kama hawa huwa wana kamisheni kwenye mauzo ya Shigongo. Sijui kwa nini nitahisi wataliibua tena