Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

Mi nitafurahi kweli wakirudiana, ukiingia blog ya milard ayo ukaona picha ndio utafurahi they look so good so good together.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
namtaka heaven on desert aje atoe tamko

Tunawachora tu,vile hamuelewi kinachoendelea,hamjui kitu mnajiuliza maswali,mnajitungia majibu wenyewe.
hamuelewi na hamtoweza kuelewa Diamond na Wema wanavyojua kuchezea akili zenu kibiashara..mnajipa mipresha ya bure kwenye hamna
then anaedai eti Penny kaugua kwa reason hizi
namletea majibu sasa hivi
 
Last edited by a moderator:
Diamond na Wema wanatumiana tu kibiashara,kushika tensheni zenu dats all&nothing seriouz.
so nyie endeleen kupiga blah blah kwa vitu msivyovijua kiundani.
 
Keep dreaming ndoto za jion.
Diamond na Wema wanatumiana kibiashara na wanajua kweli kucheza na akiri zenu wenye akili za udhabiki.
STAY WAITN KWA MOVIE YA KIHISTORIA FROM WEMA N DIAMOND

Ht wakati anaanza na penny alisema ni movie
 
Watu wanatia hasira humu,wanavyoongelea vitu kwa as if
wanauhakikaka kabisa na wanachokijadili.
 
Dogo anajaribu kujionyesha anajuwa kila kitu naona, wakati hana kazi ya maana...

Umepanick sana Papizo,kama unakabiliwa na tatizo la ajira nzuri
do somethn ufike hatua unayoitaka siyo kutoka povu na roho kukuuma kwa ajira za watu
maneno yako hayanipunguzii wala kunitisha lolote zaid ya kunipa nguvu ya kufanya kaz kwa bidii,
endelea kuugua roho
hivyo hivyo.
 
penseli sijui ataweka wap uso wake....haha namuonea hata huruma...lol mashauzi yote yale hahahahaha....mremba ule ka bi kidude...#teamwema #
 
Diamond na Wema wanatumiana tu kibiashara,kushika tensheni zenu dats all&nothing seriouz.
so nyie endeleen kupiga blah blah kwa vitu msivyovijua kiundani.

Ile movie tuliyoambiwa ya Diamond na Penny ilishatoka? It's almost a year now naona kaanza ku-act party two na Wema
 
Jamaa anayejifanya msemaji mkuu anasema eti anawapa watu attentio tu watu wengine bana!

mie hapo ndio nashangaa kuna mambo ya wewe kuwa msemaji na sio ishu sensitive kama

hii inayoinvolve watu kugegedana.....sa mie nmshangaa yule msemaji wake aisee
 
Ile movie tuliyoambiwa ya Diamond na Penny ilishatoka? It's almost a year now naona kaanza ku-act party two na Wema

acha hiyo....walisema Mwezi wa Ramadhani tu ukipita wanafunga ndoa

hadi leo.........
 
Pole,pole kwa mawazo yako potofu.
hujui nn wazungumza

in wema's voice...napenda umfikishie ujumbe penseli kua...hana hadhi ya kua na diamond &ka vp amwachie wema bwana wake...hahah mwenyew anajikuta ana mahaba ya kitanga...eti anapamba mkitanda na maua ridi utafikiri anafuga nyuki...lol,mwambie arefuke kwanza afu ajifunze kuvaa ndo aje kucompete na wema...madam Wema ndo mke wa Diamond
 
Reactions: Sal

hahaha kumbe we ni mpiga picha tu,sasa mbna unaongea as if ur his "spokeswoman"....mtu akiangalia post zako atajua we ni mzushi,coz even if they want to gain people's attention kibiashara,we mbna unaharibu by telling the truth...chunga post zako utanyimwa mshahara wa mwezi huu
 
Diamond na Wema wanatumiana tu kibiashara,kushika tensheni zenu dats all&nothing seriouz.
so nyie endeleen kupiga blah blah kwa vitu msivyovijua kiundani.

hata kama ni ivo ila wadau 90% wameonyesha kufurahia hyo couple ya ma*(wema& diamond)...sasa penny ajiulize anakasoro gani adi watu hawampendi??haha kwanza hako kapenseli hata hakana mvuto..lol ameanza utangazaji kitambo ila hana ung'aring'ari...lol komo lile utafikiri kichwa cha treni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…