amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namtaka heaven on desert aje atoe tamko
Keep dreaming ndoto za jion.
Diamond na Wema wanatumiana kibiashara na wanajua kweli kucheza na akiri zenu wenye akili za udhabiki.
STAY WAITN KWA MOVIE YA KIHISTORIA FROM WEMA N DIAMOND
Wewe jamaa heaven on desert acha mambo ya kijing.a wewe, kupiga picha na kupost kwenye blog yake isiwe ndio unatetea kila ujinga, kuna watu wazima na akili zao....Endelea kupotosha tu nitakutaja coz nakufahamu vizuri.....
Dogo anajaribu kujionyesha anajuwa kila kitu naona, wakati hana kazi ya maana...
Diamond na Wema wanatumiana tu kibiashara,kushika tensheni zenu dats all¬hing seriouz.
so nyie endeleen kupiga blah blah kwa vitu msivyovijua kiundani.
Ile movie tuliyoambiwa ya Diamond na Penny ilishatoka? It's almost a year now naona kaanza ku-act party two na Wema
penseli sijui ataweka wap uso wake....haha namuonea hata huruma...lol mashauzi yote yale hahahahaha....mremba ule ka bi kidude...#teamwema #
Jamaa anayejifanya msemaji mkuu anasema eti anawapa watu attentio tu watu wengine bana!
namtaka heaven on desert aje atoe tamko
Ile movie tuliyoambiwa ya Diamond na Penny ilishatoka? It's almost a year now naona kaanza ku-act party two na Wema
Pole,pole kwa mawazo yako potofu.
hujui nn wazungumza
Umepanick sana Papizo,kama unakabiliwa na tatizo la ajira nzuri
do somethn ufike hatua unayoitaka siyo kutoka povu na roho kukuuma kwa ajira za watu
maneno yako hayanipunguzii wala kunitisha lolote zaid ya kunipa nguvu ya kufanya kaz kwa bidii,
endelea kuugua roho
hivyo hivyo.
Diamond na Wema wanatumiana tu kibiashara,kushika tensheni zenu dats all¬hing seriouz.
so nyie endeleen kupiga blah blah kwa vitu msivyovijua kiundani.