mie hapo ndio nashangaa kuna mambo ya wewe kuwa msemaji na sio ishu sensitive kama
hii inayoinvolve watu kugegedana.....sa mie nmshangaa yule msemaji wake aisee
Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .
hahaha kumbe we ni mpiga picha tu,sasa mbna unaongea as if ur his "spokeswoman"....mtu akiangalia post zako atajua we ni mzushi,coz even if they want to gain people's attention kibiashara,we mbna unaharibu by telling the truth...chunga post zako utanyimwa mshahara wa mwezi huu
msemaji wake hum Jamvini
mie hapo ndio nashangaa kuna mambo ya wewe kuwa msemaji na sio ishu sensitive kama
hii inayoinvolve watu kugegedana.....sa mie nmshangaa yule msemaji wake aisee
hahaha kumbe we ni mpiga picha tu,sasa mbna unaongea as if ur his "spokeswoman"....mtu akiangalia post zako atajua we ni mzushi,coz even if they want to gain people's attention kibiashara,we mbna unaharibu by telling the truth...chunga post zako utanyimwa mshahara wa mwezi huu
Diamond na Wema wanatumiana tu kibiashara,kushika tensheni zenu dats all¬hing seriouz.
so nyie endeleen kupiga blah blah kwa vitu msivyovijua kiundani.
Mi nitafurahi kweli wakirudiana, ukiingia blog ya milard ayo ukaona picha ndio utafurahi they look so good so good together.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
heaven on desert naomba unitumie picha ya gari la penny basi jamani
in wema's voice...napenda umfikishie ujumbe penseli kua...hana hadhi ya kua na diamond &ka vp amwachie wema bwana wake...hahah mwenyew anajikuta ana mahaba ya kitanga...eti anapamba mkitanda na maua ridi utafikiri anafuga nyuki...lol,mwambie arefuke kwanza afu ajifunze kuvaa ndo aje kucompete na wema...madam Wema ndo mke wa Diamond
​zero brain!!!!......hamna akili kabisa....empty vesselata wewe ukirudiwa na mmeo nitapost,,ilimradi uwe celeb.
sio bure una stress za maisha wewe,,tafuta mchumba uholewe maisha ndio haya haya mdogo wangu.
Hold on Heaven..sikumbuki kama nimewahi kuweka waz kaz yangu,ama majukumu yangu zaid ya ku-update issue zinazomhusu pale ninapoona inafaa coz si wote wanatembelea website yake ,am ni followers wa mitandao ya kijamii ambako taarifa zake huwekwa.
na zaid kukosoa am kuweka sawa pale watu wanapopotosha kitu bout him am mziki wake.hakuna nilipowai mention kazi yangu.zaidi ya watu kujitamkia wajiskiavyo wenyewe.
na swala la kuwa side yake
sidhan kama utaacha kumtetea anaekuhusu ukamtetea mwingine.
So sielewi y wanikejeli kwa kuniita cjui .
msemaji..Nakuheshim Heaven ndiyo maana nimekujbu kistaarabu pia.

Nimecheka sana amekuwa msemaji mkuu mpaka kwenye hii issue ya watu kugegedana, huyu jamaa boya kweli, hana hata aibu alafu bado anaendelea kutetea, watu wanajaribu kumuelewesha ila still...hii issue haina mambo ya msemaji tukiongee inaonekana tuna wivu.
Kn kitu kimeingia knwy WhatsApp Yng cjui km na nyie mmepata ni hot hot zaidi...ndo maana nimemwambia ana moyo saana......sijui mtu unaanzaje
Kn kitu kimeingia knwy WhatsApp Yng cjui km na nyie mmepata ni hot hot zaidi...
Kn kitu kimeingia knwy WhatsApp Yng cjui km na nyie mmepata ni hot hot zaidi...