Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

mie hapo ndio nashangaa kuna mambo ya wewe kuwa msemaji na sio ishu sensitive kama

hii inayoinvolve watu kugegedana.....sa mie nmshangaa yule msemaji wake aisee

Nimecheka sana amekuwa msemaji mkuu mpaka kwenye hii issue ya watu kugegedana, huyu jamaa boya kweli, hana hata aibu alafu bado anaendelea kutetea, watu wanajaribu kumuelewesha ila still...hii issue haina mambo ya msemaji tukiongee inaonekana tuna wivu.
 
Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .

Apa ndio baadhi ya wanawake wananishangaza...uyu wema si ndio altangazwa sana kua awaache wenzie walale na hadi nyimbo katungiwa..uyu penny nae akujua kua mwenzio akinyolewa zako tia maji?? haya sasa ampshe mtalaka...wanajifanya Chris brown,Rihanna na Karrueche tran..love triangle
 
hahaha kumbe we ni mpiga picha tu,sasa mbna unaongea as if ur his "spokeswoman"....mtu akiangalia post zako atajua we ni mzushi,coz even if they want to gain people's attention kibiashara,we mbna unaharibu by telling the truth...chunga post zako utanyimwa mshahara wa mwezi huu

Mkuu huyu dogo hajatulia na ana try kuwafanya watu wajinga plus anajichanganya sana si umeona sasa anatoa siri zenyewe??alafu anatetea vitu ambavyo havifai kutetea, tunamwaambia anasema tuna wivu, wivu gani tunaona?
 
mie hapo ndio nashangaa kuna mambo ya wewe kuwa msemaji na sio ishu sensitive kama

hii inayoinvolve watu kugegedana.....sa mie nmshangaa yule msemaji wake aisee

Hold on Heaven..sikumbuki kama nimewahi kuweka waz kaz yangu,ama majukumu yangu zaid ya ku-update issue zinazomhusu pale ninapoona inafaa coz si wote wanatembelea website yake ,am ni followers wa mitandao ya kijamii ambako taarifa zake huwekwa.
na zaid kukosoa am kuweka sawa pale watu wanapopotosha kitu bout him am mziki wake.hakuna nilipowai mention kazi yangu.zaidi ya watu kujitamkia wajiskiavyo wenyewe.
na swala la kuwa side yake
sidhan kama utaacha kumtetea anaekuhusu ukamtetea mwingine.
So sielewi y wanikejeli kwa kuniita cjui .
msemaji..Nakuheshim Heaven ndiyo maana nimekujbu kistaarabu pia.
 
hahaha kumbe we ni mpiga picha tu,sasa mbna unaongea as if ur his "spokeswoman"....mtu akiangalia post zako atajua we ni mzushi,coz even if they want to gain people's attention kibiashara,we mbna unaharibu by telling the truth...chunga post zako utanyimwa mshahara wa mwezi huu

Samahani ndugu,unaweza ukanikumbusha nilipowah kutamka aina ya kaz naifanya??
ok lets say napiga picha or vyovyote utakavyosema.
kama nalipwa mshahara mzuri pengine kuliko wanaoona ajira zao ndiyo bora.
So whats the point?
sifa ni aina ya kazi unayofanya ama unachopeleka benki?
 
Diamond na Wema wanatumiana tu kibiashara,kushika tensheni zenu dats all&nothing seriouz.
so nyie endeleen kupiga blah blah kwa vitu msivyovijua kiundani.

wasome Bongo5 hapa,,wewe hujui lolote kapige pichz

Ukweli wa kwanza tulioubaini ni kuwa, Diamond na Wema Sepetu walikutana Hong Kong na sio Malaysia. Wema alienda huko takriban wiki tatu zilizopita na hivyo Diamond alimfuata baada ya kumaliza show yake ya Malaysia. Kwa mujibu wa msichana aitwaye Alice aliyeiambia Bongo5, Diamond alisafiri kutoka Kuala Lumpur, Malaysia kwenda Hong Kong kumfuata Wema kwa ndege ya kampuni ya Air Asia.

“Nilipanda na Diamond flight moja from KUL to HKG tena ilikua ni Air Asia X flight number 567 alipandia KUL-LCC Terminal nilimuona kwenye lounge direct nikashangaa anafanya nini huku na baada kufika HKG sijui hata alipotelea wapi kumbe haya yote ndo alikua akiyafuata hongera zao,” alisema Alice.

Huko, Diamond na Wema wamekaa wote kwenye hoteli moja na mpenzi wake Penny hakuwa anajua kuhusu hili hadi picha hizi zilipoanza kuenea na yeye ameshtuka kama walivyoshtuka wengine.

Haijajulikana picha hizo zimesambazwa na nani lakini kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, kuna uwezekano kuwa picha hizo zimesambazwa na Wema wenyewe kwa kusudi la kumuumiza Penny. Kuna taarifa zimeifikia Bongo5 kuwa, Penny ameumizwa mno na picha hizo na amekuwa akilia siku nzima. Hata hivyo binafsi hatujaweza kuthibitisha taarifa hizo.

Jitihada za kumtafuta Penny azungumzie suala hili zimegonga mwamba kwakuwa simu yake haipokelewi.
 
Mi nitafurahi kweli wakirudiana, ukiingia blog ya milard ayo ukaona picha ndio utafurahi they look so good so good together.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

yani itakua burudaani,,domo anaweza msaidia Wema aache kula unga maybe..
Penny alimlazimisha D amrekodi wema alafu airushe kwa watu limemshukaje sasa.
 
in wema's voice...napenda umfikishie ujumbe penseli kua...hana hadhi ya kua na diamond &ka vp amwachie wema bwana wake...hahah mwenyew anajikuta ana mahaba ya kitanga...eti anapamba mkitanda na maua ridi utafikiri anafuga nyuki...lol,mwambie arefuke kwanza afu ajifunze kuvaa ndo aje kucompete na wema...madam Wema ndo mke wa Diamond

na kweli damu ya pamba hana kabisa penseli,nguo ata iwe nzuri kiasi gani akivaa yeye inakuwa ya kawaida cjui ni ule uandunje....hahaha umenchekesha eti maua kwenye kitanda cjui haigopi kuita nyuki..
 
ahahhahahhha yani heaven on desert unanichekeshaga kweli!
mimi sio mshabiki wa yeyote kati ya hyo trio!since naona na kuchezeana akili tu!
ILA SAAASA WEWE UNAKOMAA NA HII ISSE UTAFIKIRI WEWE NDO TRAFIKI WA DUSHE LA diamond!!!
ile like here RED!now YELLOW! thn GREEN!
we vipi?!
 
sio bure una stress za maisha wewe,,tafuta mchumba uholewe maisha ndio haya haya mdogo wangu.

Tangu umeanza hii thread umekuja kiushabiki shabiki na huyo dayamondi wako. Vipi kwani, unamtaka dayamondi nini? Nimedadisi tu usikurupuke kujibu unaweza kujiharibia
 
Hold on Heaven..sikumbuki kama nimewahi kuweka waz kaz yangu,ama majukumu yangu zaid ya ku-update issue zinazomhusu pale ninapoona inafaa coz si wote wanatembelea website yake ,am ni followers wa mitandao ya kijamii ambako taarifa zake huwekwa.
na zaid kukosoa am kuweka sawa pale watu wanapopotosha kitu bout him am mziki wake.hakuna nilipowai mention kazi yangu.zaidi ya watu kujitamkia wajiskiavyo wenyewe.
na swala la kuwa side yake
sidhan kama utaacha kumtetea anaekuhusu ukamtetea mwingine.
So sielewi y wanikejeli kwa kuniita cjui .
msemaji..Nakuheshim Heaven ndiyo maana nimekujbu kistaarabu pia.

Wewe kweli nimeamini boya kabisa, unakana kitu ulichokiandika mwenyewe hapa JF? Au unadhani thread zinafutika hapa JF?

Sasa I bet upo tayari kutoa takko kama nikikuwekea hapa bandiko lako ukijishauwa hapa JF kwamba wewe ndio Publiciter wa domo?
 
Hold on Heaven..sikumbuki kama nimewahi kuweka waz kaz yangu,ama majukumu yangu zaid ya ku-update issue zinazomhusu pale ninapoona inafaa coz si wote wanatembelea website yake ,am ni followers wa mitandao ya kijamii ambako taarifa zake huwekwa.
na zaid kukosoa am kuweka sawa pale watu wanapopotosha kitu bout him am mziki wake.hakuna nilipowai mention kazi yangu.zaidi ya watu kujitamkia wajiskiavyo wenyewe.
na swala la kuwa side yake
sidhan kama utaacha kumtetea anaekuhusu ukamtetea mwingine.
So sielewi y wanikejeli kwa kuniita cjui .
msemaji..Nakuheshim Heaven ndiyo maana nimekujbu kistaarabu pia.

nashukuru sana........ila una moyo aisee.........
 
Nimecheka sana amekuwa msemaji mkuu mpaka kwenye hii issue ya watu kugegedana, huyu jamaa boya kweli, hana hata aibu alafu bado anaendelea kutetea, watu wanajaribu kumuelewesha ila still...hii issue haina mambo ya msemaji tukiongee inaonekana tuna wivu.

ndo maana nimemwambia ana moyo saana......sijui mtu unaanzaje
 
Back
Top Bottom