Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

Kwa Mara ya kwanza ndani ya Ardhi ya kwanza Tanzania, diamond na zari watatumbuiza pamoja hapa mjini songea kwenye sherehe za CCM kutimiza miaka 38.
Update
Diamond na zari wameshatua uwanja Wa ndege wa hapa songea

Hivi diamond atafanya show Dar Live tena? wakati vijana wa mbagala wameburuzwa na kutandikwa na hao waliomwalika kuwatumbuiza? mameneja wa diamond mumemshauri vibaya mtu wenu jiandaeni kupigwa manati, juzi mliponea chupuchupu kama sio kurushiwa burungutu la hela sasa hiko songea ndo mumejimaliza.
 
Hivi mama mtu mzima mwenye watoto watatu anaweza vaa namna hii kweli? tena mke wa mtu? nimeona mumewe Ivan akilalamika namna mkewe navyofanya ngono na huyo mtoto mshenzi wa kitanzania tena wametunga na wimbo nitauweka hapa muone mumewe anavyolalamika. hivi songea hakuna mashehe wakemee haya mambo?

Wenyewe ni wasanii kama alivyo diamond na NIDI yake pia inajulikana ni ya kisanii
 
Wenyewe ni wasanii kama alivyo diamond na NIDI yake pia inajulikana ni ya kisanii

Hizo ngu wakazivalie kwenye night clubs wakitaka wajojoe wabaki mtupu sawa, ila katika public domain kama airstrip hapana, kuna watoto wa mashehe wanawatia fedheha.
 
Dah Bombo Hii Nyumbii Hii...
Nimepamiss sana MSAMALA aisee,BOMBA2,MFARANYAKI,LIZABONI,MAHENGE,MOONLIGHT,MANZESE,MAJENGO,KWA OTTAWA,KWA MBULUSHI.
Ndio ilikua mitaa yangu iyo in 2010-2012,advance MSAMALA SEC SCHOOL.
 
Hahaha Zari nimemuona live ni mzuri hatari
Leo kazi tunayo.Naona utamtafuta hadi upige naye picha maana hujawahi kumuona live zaidi ya kwenye media.
Can't believe this, wallah dunia imejaa viroja hii!! Mkuu laki si pesa kaenda kumshangaa Diamond Platnumz na mchuchu wake, Allah Akbar, yaani ameshasahau kwamba aliwahi kusema hivi:
Kweli.nimeamini Watanzania wengii hawana kazi hasa wakazi wa dar ni wavivu kupindukia. Muda wa kazi wanamshangaa huyu zuzu. Mikoa ya wachapa kazi kama Songea huwezi ona huu ujinga
Kisa cha kutuona wavivu na hatuna kazi, hiki hapa:
View attachment 223375View attachment 223375

Kumbe laki si pesa alikuwa anaona wivu kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kuja Dar!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom