Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Zari nimemuona live ni mzuri hatari
Kwa Mara ya kwanza ndani ya Ardhi ya kwanza Tanzania, diamond na zari watatumbuiza pamoja hapa mjini songea kwenye sherehe za CCM kutimiza miaka 38.
Update
Diamond na zari wameshatua uwanja Wa ndege wa hapa songea
Hivi mama mtu mzima mwenye watoto watatu anaweza vaa namna hii kweli? tena mke wa mtu? nimeona mumewe Ivan akilalamika namna mkewe navyofanya ngono na huyo mtoto mshenzi wa kitanzania tena wametunga na wimbo nitauweka hapa muone mumewe anavyolalamika. hivi songea hakuna mashehe wakemee haya mambo?
Kwani kuna mkoa hauna uwanja wa ndege..?
Leo ni full shangwe Songea
Labda ile singo aliyomshirikisha diamond ya fokofokofokofokoooo.....kwichikwichikwichiii....aaasss...aaassssss...aaaahhhhhhHivi wimbo Mmoja ulioimbwa na zari ni upi?
Wenyewe ni wasanii kama alivyo diamond na NIDI yake pia inajulikana ni ya kisanii
Hahaha Zari nimemuona live ni mzuri hatari
Can't believe this, wallah dunia imejaa viroja hii!! Mkuu laki si pesa kaenda kumshangaa Diamond Platnumz na mchuchu wake, Allah Akbar, yaani ameshasahau kwamba aliwahi kusema hivi:Leo kazi tunayo.Naona utamtafuta hadi upige naye picha maana hujawahi kumuona live zaidi ya kwenye media.
Kisa cha kutuona wavivu na hatuna kazi, hiki hapa:Kweli.nimeamini Watanzania wengii hawana kazi hasa wakazi wa dar ni wavivu kupindukia. Muda wa kazi wanamshangaa huyu zuzu. Mikoa ya wachapa kazi kama Songea huwezi ona huu ujinga
Can't believe this, wallah dunia imejaa viroja hii!! Mkuu laki si pesa kaenda kumshangaa Diamond Platnumz na mchuchu wake, Allah Akbar, yaani ameshasahau kwamba aliwahi kusema hivi:Kisa cha kutuona wavivu na hatuna kazi, hiki hapa:
View attachment 223375View attachment 223375
Kumbe laki si pesa alikuwa anaona wivu kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kuja Dar!!!!
Haniumizi kichwa wala nini coz' nimeshamzoea kule kwenye jukwaa lake pendwa!Hahahaaaa usimchukulie serious laki si pesa utaumia kichwa bure.