Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

Samahani wakuu, hivi diamond huu uzinzi mpaka lini? Je wapi wema sepetu? Kasha mmwaga ama? Any way nilikuwa nauliza tu.
 
Samahani wakuu, hivi diamond huu uzinzi mpaka lini? Je wapi wema sepetu? Kasha mmwaga ama? Any way nilikuwa nauliza tu.

We mwenzetu unaishi wapi hadi usijue diamond na wema wameachana? Btw uko salama kumuita mwenzio mzinzi only if wewe ni bikra.
 
Achana na mdugu zangu hiyo hapo ni mbinu ya ccm kuvuta watu wengi waje,
Hiyo ni mbinu CCM inatumia kusanya watu kwenye mikutano yao,msanii hapo yupo kibiashara tu,je upinzani umeshindwa kutumia wasanii kwenye mikutano?

Tatizo bajeti
 
Dogo kaji brand.. hongera zake..wanavaa vizuri crew nzima..status yao iko juu
 
Achana na mdugu zangu hiyo hapo ni mbinu ya ccm kuvuta watu wengi waje,
Hiyo ni mbinu CCM inatumia kusanya watu kwenye mikutano yao,msanii hapo yupo kibiashara tu,je upinzani umeshindwa kutumia wasanii kwenye mikutano?
Hao wote wanaojifanya kuwapinga wasanii ni wanafiki tu coz' hata wao kama wangekuwa na biashara ya kufanya na CCM wala wasingeacha kuifanya kwa sababu tu hawaipendi CCM! Ni ujinga uliokubuhu kuwataka wengine wafanye kile ambacho hata wao wasingeweza kukifanya... muziki ni biashara... there's no way mtu ataacha kuchukua mzigo wa kutosha kwa sababu za kisiasa wakati mwanamuziki mwenyewe sio mwanasiasa!
 
Huyu dogo ni msanii anayejielewa kaenda kachukua million 50 na kalazimushwa kuvaa ccm kakataa na huyu dogo sio mwana siasa leo nimemkubali.hawezi tumiwa na ma ccm.dogo ukawa huyu wangekua kama Ali kiba njaa zingemvalisha ccm lakini dogo kapiga zaidi USA na UG.

SWSSIME

Hunjui Ali kiba ww
 
kauli ya kipumbavu kabisa, unasifia shibe ya mafisadi wakati ndugu zako wanakufa kwa kukosa tiba

Sidhan kama amesifia ila ndo uhalisia Hui
Nadhan ni wakat Wa wasanii kujitambua now
 
Sasa nimeshajua ni kwa nini huyu dogo huwa anazomewa kwenye shoo zake. Huku kutumiwa kama mipira ya kiume kwa wasanii dhidi ya ccm ni fedhea sana.
 
Mahakama ya khadhi inaanza lini? huyu mama ni mke wa mtu na mama wa watoto watatu anatutembelea nusu uchi na kimada wake tena hadharani.

Ndo sababu tunailaani na kuipinga hilo baraza lenu la kahawa! Mnataka mtuvalishe mahema na joto lote hili? Hatutaki! Tunavaa tunavojisikia ......hutaki hamia arabuni!
 
Back
Top Bottom