Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
pumbavuuuuuuuuu diamond na wenzake woteee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani wakuu, hivi diamond huu uzinzi mpaka lini? Je wapi wema sepetu? Kasha mmwaga ama? Any way nilikuwa nauliza tu.
Achana na mdugu zangu hiyo hapo ni mbinu ya ccm kuvuta watu wengi waje,
Hiyo ni mbinu CCM inatumia kusanya watu kwenye mikutano yao,msanii hapo yupo kibiashara tu,je upinzani umeshindwa kutumia wasanii kwenye mikutano?
Tatizo bajeti
Shosti umepoteaaaaa... Kwema?
Hao wote wanaojifanya kuwapinga wasanii ni wanafiki tu coz' hata wao kama wangekuwa na biashara ya kufanya na CCM wala wasingeacha kuifanya kwa sababu tu hawaipendi CCM! Ni ujinga uliokubuhu kuwataka wengine wafanye kile ambacho hata wao wasingeweza kukifanya... muziki ni biashara... there's no way mtu ataacha kuchukua mzigo wa kutosha kwa sababu za kisiasa wakati mwanamuziki mwenyewe sio mwanasiasa!Achana na mdugu zangu hiyo hapo ni mbinu ya ccm kuvuta watu wengi waje,
Hiyo ni mbinu CCM inatumia kusanya watu kwenye mikutano yao,msanii hapo yupo kibiashara tu,je upinzani umeshindwa kutumia wasanii kwenye mikutano?
Huyu dogo ni msanii anayejielewa kaenda kachukua million 50 na kalazimushwa kuvaa ccm kakataa na huyu dogo sio mwana siasa leo nimemkubali.hawezi tumiwa na ma ccm.dogo ukawa huyu wangekua kama Ali kiba njaa zingemvalisha ccm lakini dogo kapiga zaidi USA na UG.
SWSSIME
kauli ya kipumbavu kabisa, unasifia shibe ya mafisadi wakati ndugu zako wanakufa kwa kukosa tiba
Samahani wakuu, hivi diamond huu uzinzi mpaka lini? Je wapi wema sepetu? Kasha mmwaga ama? Any way nilikuwa nauliza tu.
Hivi ule ulikua mkutano wa Ccm ama maana Diamond kafunika mbayaaa
Kafunikaje labda
Mahakama ya khadhi inaanza lini? huyu mama ni mke wa mtu na mama wa watoto watatu anatutembelea nusu uchi na kimada wake tena hadharani.
dah mtoto mkali asee
Hahaha Zari nimemuona live ni mzuri hatari