Diamond: Nadhani Wema Sepetu ameanza kunikubali kimya kimya

Wanazingua, mbona Wema alikuwa anasema anamtumia SMS Diamond mara kwa mara wakati mama Mondi anaumwa. Halafu Leo wanasema hajawai kuwa Na namba yake.

Wanatuzuga. .

Kuna msemo usemao
Kuendelea kuwasiliana na X wako, ni sawa na kutumia muwa kama fimbo ya kutembelea, kuna siku tuu utakula huo muwa. .........
 
Wanatuzuga. .

Kuna msemo usemao
Kuendelea kuwasiliana na X wako, ni sawa na kutumia muwa kama fimbo ya kutembelea, kuna siku tuu utakula huo muwa. .........
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wema mbona alishasemaga kuwa ni shabiki mkubwa tu wa nyimbo za mondi! Halafu huwa anapost tu bila noma wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…