marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,656
Wanazingua, mbona Wema alikuwa anasema anamtumia SMS Diamond mara kwa mara wakati mama Mondi anaumwa. Halafu Leo wanasema hajawai kuwa Na namba yake.
Wanatuzuga. .
Kuna msemo usemao
Kuendelea kuwasiliana na X wako, ni sawa na kutumia muwa kama fimbo ya kutembelea, kuna siku tuu utakula huo muwa. .........