Diamond ndiye msanii tajiri zaidi kwa sasa Africa Mashariki



Kwa hiyo, unataka tufanye nini sasa? Na wewe mleta mada unanufaikaje na utajiri wa Diamond? Wabongo bwana kwa ujinga, sijuwi watakuwa lini.
 
Mimi ni shabiki wa Diamond lkn kwa huu uzi naweza kuanza kumchukia maana sipendagi uongo na ujinga ujinga. Diamond ataanzia wapi kumzidi Jose Kamilioni au hata Jaguar? acheni upuuzi naona mmeanza kulewa sifa
 
Mimi ni shabiki wa Diamond lkn kwa huu uzi naweza kuanza kumchukia maana sipendagi uongo na ujinga ujinga. Diamond ataanzia wapi kumzidi Jose Kamilioni au hata Jaguar? acheni upuuzi naona mmeanza kulewa sifa
Kama ulikuwa ukitafuta sababu umeipata, mchukie sasa. Unasema Utadhani Diamond ndo kaipost hii habari.
 
Hizi [emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji478] hizi
 
Tunajivunia Tanzania kwa kijana wetu Diamond kufanya vizuri. Aongeze juhudi zaidi ili siku moja aje kuwa msanii namba 1 mwenye pesa Afrika nzima
 
Uongo sio jambo jema kabisa,unapata raha gani kudanganya maisha usiyo nayo hizi ndio roho za kifukara zilivyo
 
Weka link tujisomee wenyewe acha maneno mob.
 
mahaba niuwe....
mahabanipofushe..
me sijaelewa......
 
hapa Tanzania tu sio wa kwanza sembuse huko afrika mashariki

ebu tuletee utajiri Wa hawa viumbe wawili


masanja. mkandamizaji

ay
 
Naona siku hizi Tandale napo kuna Jarida linaitwa Forbes
 
Nyumba ya south $200,000 gari LA mtumba BMW X6 $ 20,000...kweliiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…