Diamond ndiye msanii tajiri zaidi kwa sasa Africa Mashariki

Diamond ndiye msanii tajiri zaidi kwa sasa Africa Mashariki

1. “Jagz Cabs” and garage – Here Jaguar has invested in cabs and his garage is in Nairobi’s Industrial area where cars can get pimped out.

2. Matatus in various routes i Nairobi. They are managed b his sister.

3. Real estate – He owns a number of rental houses. He
once bought a house fro sh10
million in Karen.

4. He has been linked with
ownership of Response
Security Co Ltd.
Umepewa mic unaitumia vibaya,muda si mrefu tutakuzimia.
 
Wapi mtoa mada ameandika kwamba Diamond anamzidi Kinyonga kwa kumiliki magari ya Kifahari..!?
Au ndio kujitoa ufahamu tu ili uthibitishe ile tetesi ya kwamba wanaJamhuri tunatumia 1% ya ubongo wetu..!?
Kaandika diamond amefatiwa na dr jose kamilioni,kasome vizuri m@m@
 
Wapi mtoa mada ameandika kwamba Diamond anamzidi Kinyonga kwa kumiliki magari ya Kifahari..!?
Au ndio kujitoa ufahamu tu ili uthibitishe ile tetesi ya kwamba wanaJamhuri tunatumia 1% ya ubongo wetu..!?
Kaandika, hazikuangaliwa pesa taslimu bank, bali mali mbali mbali anazomiliki[emoji53] [emoji53] [emoji53].
 
Nasubiri uthibitisho wa taarifa nimpongeze mdogo wangu. Ila ngoja nimpongeze hivyo hivyo sababu hata kama hajafikia huko angalau atakuwa anakaribia au kuzidi, Congratulations Nassibu, Ngote, platnenga, Almasi, Baba tee, [emoji4]
 
Mbona analalamika hiko kikodi cha milioni 250 kwa TRA, eti anasema aliwapiga tafu Sana kwenye kampeni, haiwezi kuwa sababi ya Ku free ride
 
Kaandika, hazikuangaliwa pesa taslimu bank, bali mali mbali mbali anazomiliki[emoji53] [emoji53] [emoji53].
Kweli mkuu...
Mtoa mada amesema wameangalia mali mbalimbali...
Lakini si magari ya kifahari pekee..!
Kama wakiangalia magari ya kifahari pekee nafikiri Kinyonga atakuwa juu,kwasababu yeye ana magari ya kifahari zaidi ya Diamond..!
 
Jamaa anavaa kwa mtupio mmoja.....! Inawezekana zikawa ni Zim dollar.
91-02.jpg
 
Back
Top Bottom