Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,ila ndio hadi ujumbe waniwekee?mfano,simu zitoke zinaitwa Freemason,siwezi nunua!Ila kampuni hiyo hiyo iziite labda Gx5,nitanunua!Issue hapa ni kuwa siwezi kununua kitu nikijua kabisa motive behind the words written on it inashabikia ushetani au kinyume na imani yanguHata Simu yako unayopost nayo hii Thread founder wake ni Freemason
Lkn si kavaa 2 nguo. Kwan kuvaa ki2 ndo kumfatsha aliyezndua?? Mbna wa2 wanavaa nguo zna mafuvu. Au m2 anavaa nguo ina maneno ya ajabu. Sio kila ki2 ni kuchukulia negatively
Basi na ww vaa nguo imeandikwa nakupenda shetan...hallahLkn si kavaa 2 nguo. Kwan kuvaa ki2 ndo kumfatsha aliyezndua?? Mbna wa2 wanavaa nguo zna mafuvu. Au m2 anavaa nguo ina maneno ya ajabu. Sio kila ki2 ni kuchukulia negatively
Yeesuz pia ni nickname yake,huwa anajulikana kama "Ye" wengine huita yeezy na pia jesus ni jina huru kutumia coz watu wengi wanaitwa yesu tu koz ni jina ka majina mengine ila hawaitwi Yesu Christo. kama ilivyo jina la Muhammad.Hata ukivaa logo inayosomeka "Mimi ni mfuasi wa shetani" poa tu
Mimi kuna siku shemeji yangu alikuwa kavaa T-shirt iliyoandika "I'M PORNSTAR"Ni mavazi tu mbona kuna vijana masela mtaani wanavaa ma T-shirt yameandikwa "**** ME BOY" AM PREGNANT" na unakuta kalipendea maandishi yake au picha anadunda nalo sa sijui kama na maana ya hayo maneno kama wanaifahamu
Utajuaje labda ni kweli yy ni porn star!?Mimi kuna siku shemeji yangu alikuwa kavaa T-shirt iliyoandika "I'M PORNSTAR"
Aiseee nilijisikia aibu sana.
Halafu bonge la bishoo...dah!
Yah Muhammad wapo lkn huwezi kukuta mtu anajiita Muhammad S.W.AYeesuz pia ni nickname yake,huwa anajulikana kama "Ye" wengine huita yeezy na pia jesus ni jina huru kutumia coz watu wengi wanaitwa yesu tu koz ni jina ka majina mengine ila hawaitwi Yesu Christo. kama ilivyo jina la Muhammad.
Haha usikute hiyo I'M hakuiona akajua ni PORNSTAR huwa wanabadilishaga hadi miondoko kwa kujiona wamevaa vizuri kumbe..Mimi kuna siku shemeji yangu alikuwa kavaa T-shirt iliyoandika "I'M PORNSTAR"
Aiseee nilijisikia aibu sana.
Halafu bonge la bishoo...dah!
Sure mkuuYah Muhammad wapo lkn huwezi kukuta mtu anajiita Muhammad S.W.A
Nmevaa hapaBasi na ww vaa nguo imeandikwa nakupenda shetan...hallah
Hebu thibitisha hili la kujiunga na mambo ya kishetani.Huyoo amejiunga kwenye mambo ya kishetani siku nyingi sana. Ukimfwatilia vizuri utamwelewa diamond ni masonic. Usipo kubali leo kesho utakubali.
Hakuna kitu kama hicho ni Imani za kijinga tu.85%-90% ya mavitu tunayotumia himu duniani yanatoka kwa hao hao tunaowaita freemasons(devil worshipers),
Kiukwel hatuwezi kuwaepuka kabisaaaaaa....
Natoa mfano: niliskiao pia coca cola ni hao hao kina freemason, sasa je ni wangapi tunatumia coca cola, wapi nike, wapi adidas, wangapi tunashabikia hizi timu za mipira zinazohusishwa na mambo ya kishetani.
Hawa jamaa ni UN-KWEPEKABLE
kwa taharifa yako nguo nyingi kwa dunia ya leo zinama Roho Kama hujui. Mkuu.Lkn si kavaa 2 nguo. Kwan kuvaa ki2 ndo kumfatsha aliyezndua?? Mbna wa2 wanavaa nguo zna mafuvu. Au m2 anavaa nguo ina maneno ya ajabu. Sio kila ki2 ni kuchukulia negatively