Diamond ni kutojua au umejiunga na dini hii mpya!?

Ni jambo gani zuri linaweza kukuvutia kwa shetani mpaka ujiite jina lake.
Maana shetani ni adui mkubwa wa Muumba hatupashwi kujihusisha naye kwa chochote sasa unaanzaje jiita shetani.
ukijifananisha na mnyama afadhali maana kuna mazuri ya wanyama lakini shetani hana jema.
Ntajie jema moja la shetani.
Aka sio lazima iwe jema au baya mkuu, inategemea
 
Ni jambo gani zuri linaweza kukuvutia kwa shetani mpaka ujiite jina lake.
Maana shetani ni adui mkubwa wa Muumba hatupashwi kujihusisha naye kwa chochote sasa unaanzaje jiita shetani.
ukijifananisha na mnyama afadhali maana kuna mazuri ya wanyama lakini shetani hana jema.
Ntajie jema moja la shetani.
Kwahiyo kwa mtazamo wako wafuasi wa Manchester United ni wafuasi wa shetani?
 
Hapana mkuu ila ni kwamba kuna vitu mtu anashabikia pasipo kujua uwa nacheka sana nikimkuta muumini aliyeshika dini kweli kweli akiwa anabishana na kujisifu sisi ndio red devils then akitoka hapo anaenda mkemea shetani.
 
Hao ni wengi
 
Back
Top Bottom