Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Aka sio lazima iwe jema au baya mkuu, inategemeaNi jambo gani zuri linaweza kukuvutia kwa shetani mpaka ujiite jina lake.
Maana shetani ni adui mkubwa wa Muumba hatupashwi kujihusisha naye kwa chochote sasa unaanzaje jiita shetani.
ukijifananisha na mnyama afadhali maana kuna mazuri ya wanyama lakini shetani hana jema.
Ntajie jema moja la shetani.