Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Aka sio lazima iwe jema au baya mkuu, inategemeaNi jambo gani zuri linaweza kukuvutia kwa shetani mpaka ujiite jina lake.
Maana shetani ni adui mkubwa wa Muumba hatupashwi kujihusisha naye kwa chochote sasa unaanzaje jiita shetani.
ukijifananisha na mnyama afadhali maana kuna mazuri ya wanyama lakini shetani hana jema.
Ntajie jema moja la shetani.
Anayevutiwa na maovu mpaka ajiite jina la aliye muovu ana maana gani sasa mkuu.Aka sio lazima iwe jema mkuu, inategemea
Kwahiyo kwa mtazamo wako wafuasi wa Manchester United ni wafuasi wa shetani?Ni jambo gani zuri linaweza kukuvutia kwa shetani mpaka ujiite jina lake.
Maana shetani ni adui mkubwa wa Muumba hatupashwi kujihusisha naye kwa chochote sasa unaanzaje jiita shetani.
ukijifananisha na mnyama afadhali maana kuna mazuri ya wanyama lakini shetani hana jema.
Ntajie jema moja la shetani.
Hapana mkuu ila ni kwamba kuna vitu mtu anashabikia pasipo kujua uwa nacheka sana nikimkuta muumini aliyeshika dini kweli kweli akiwa anabishana na kujisifu sisi ndio red devils then akitoka hapo anaenda mkemea shetani.Kwahiyo kwa mtazamo wako wafuasi wa Manchester United ni wafuasi wa shetani?
Hao ni wengiHapana mkuu ila ni kwamba kuna vitu mtu anashabikia pasipo kujua uwa nacheka sana nikimkuta muumini aliyeshika dini kweli kweli akiwa anabishana na kujisifu sisi ndio red devils then akitoka hapo anaenda mkemea shetani.