Naona siku akipata tuzo ya oscar ataalika dunia nzima impokee airport ahahhah ushamba mzigo
Kapime akili ww dogo kwanza mnafungua lini shule??mtoa maada ovyo pambavyu.
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?
Mnaongea haya ila mngefanikiwa kupata hata tuzo ya ndala nahisi ungealika kijij chenu kije kukupokea, hao walioalikwa si wanazo akili timam na hakuna aliyewashikia fimbo kwenda kumpokea.
Hayo ni mambo ya kike na yalianzishwa na wema kipindi wapo pamoja sasa wameachana kaiga ndo maana wema alivyokosa ubunge si alifanya kama hivyo #mambo ya kike mnatetea upuuzi tu hapaMnaongea haya ila mngefanikiwa kupata hata tuzo ya ndala nahisi ungealika kijij chenu kije kukupokea, hao walioalikwa si wanazo akili timam na hakuna aliyewashikia fimbo kwenda kumpokea.
Hahahahaaaaa jamaa inabidi aanze kushituka coz ashaanza kukera maraia na sofa zake izo za kiboya watu wana mitunzo tena ya Grammy lakini hawana ulimbukeni huo mm nauita kama ushamba tu sioni haja
Nigerian comments on instagram
Hayo ni mambo ya kike na yalianzishwa na wema kipindi wapo pamoja sasa wameachana kaiga ndo maana wema alivyokosa ubunge si alifanya kama hivyo #mambo ya kike mnatetea upuuzi tu hapa
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?
We jamaa vp? Wenyewe walioenda hawajalalamika unakuja kulalamika wewe!! Kama unadhani ukisema njoo mnipokee tu watu ndo watakuja kukupokea; jaribu wewe uwaambie angalau wa watu wa kijijini kwenu kwamba unaenda waje kukupkea kama hujakuta shangazi yako peke yake!
Ushamba unamsumbua mbwa huyo
Hahahahaha wazo zuri mkuu, najuunga mkono
Oya muanzisha mada fanya ufate ushauri huu, itakuja mbwa tu hta shangazi yako hajiiii...
Nigerian comments on instagram
Kiba alivyopanda daladala watu wengi walikuwa hawajui na wala haku post instagram na juzi alivyoenda jagwani hakusema kama atakuwepo na watu walikuwa wengi ila haja post instagram so show offs na misifa usimfananishe kiba na mond aisee juzi tu alienda kupiga show kimykimya ye anaangalia pesa sio watu ukimpa hela yake anayota kwenye sho hata watu watano anapiga hivyo yaniHahahaha nadhani huduma ya kwanza, jipige kidole afu uza kimeo unachomiliki, nunua nokia tochi usiwe unaona mafuriko maana utaweuka
***** wakiweka misafara magufuri na lowassa mnaona sawa?
Afu kukurekebisha tu, hakuna msanii aliyewahi kushinda tuzo kubwa za heshima kama Diamond, kibakuli alivoenda kupanda daladala watu hawakumshobokea ingekuwa mondi lazima polisi wangemwagika