Diamond ni limbukeni wa mafanikio

Diamond ni limbukeni wa mafanikio

isho boy mkuu hayo mambo alifundishwa na wema sepetu sasa pata picha hapo kama dume linafanya hivyo ndo maana Vanessa na ommydimpoz walirudi kimyakimya
 
Last edited by a moderator:
Naona siku akipata tuzo ya oscar ataalika dunia nzima impokee airport ahahhah ushamba mzigo

Hahahahaaaaa ila kweli ushamba mzigo sana.....sijui cku akipata za bet yaan tutakimbia mji kwa mashauzi.....mbona kina davido, eddy kenzo, wiz washachukuaga tunzo tena za heshima but hatujawai sikia ayo maandamano daah utandale bado upo kichwan
 
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?

Mkuu haya mambo yamekuzidi upe wa ufahamu wako, hutakaa uelewe..........

Ndio maana hata akifanya show ya mamilioni watu wanajaa sababu ya huo unaouita ulimbukeni

Ukijua kucheza na akili za mashabiki wako siku zote utabaki juu, ndicho anachofanya Chibu
 
Mnaongea haya ila mngefanikiwa kupata hata tuzo ya ndala nahisi ungealika kijij chenu kije kukupokea, hao walioalikwa si wanazo akili timam na hakuna aliyewashikia fimbo kwenda kumpokea.
 
Mnaongea haya ila mngefanikiwa kupata hata tuzo ya ndala nahisi ungealika kijij chenu kije kukupokea, hao walioalikwa si wanazo akili timam na hakuna aliyewashikia fimbo kwenda kumpokea.

Hiv umeielewa mada ama unakurupuka tu
 
0eb7c7642ffc9bf25202ee137b31452a.jpg
f3bc9556ae9d3269ea2a594c0288b57e.jpg

Nigerian comments on instagram
 
Mnaongea haya ila mngefanikiwa kupata hata tuzo ya ndala nahisi ungealika kijij chenu kije kukupokea, hao walioalikwa si wanazo akili timam na hakuna aliyewashikia fimbo kwenda kumpokea.
Hayo ni mambo ya kike na yalianzishwa na wema kipindi wapo pamoja sasa wameachana kaiga ndo maana wema alivyokosa ubunge si alifanya kama hivyo #mambo ya kike mnatetea upuuzi tu hapa
 
Kipi hakijaeleweka hapo, unashangaa jamaa kualika watu? ulimbukeni na ushamba unaoutaja wewe ndo umemfikisha hapo alipo.
 
0eb7c7642ffc9bf25202ee137b31452a.jpg
f3bc9556ae9d3269ea2a594c0288b57e.jpg

Nigerian comments on instagram
Hahahahaaaaa jamaa inabidi aanze kushituka coz ashaanza kukera maraia na sofa zake izo za kiboya watu wana mitunzo tena ya Grammy lakini hawana ulimbukeni huo mm nauita kama ushamba tu sioni haja
 
Hayo ni mambo ya kike na yalianzishwa na wema kipindi wapo pamoja sasa wameachana kaiga ndo maana wema alivyokosa ubunge si alifanya kama hivyo #mambo ya kike mnatetea upuuzi tu hapa

Kwani mnachoshangaa nini sasa? huyu raia ni msanii na hayo anayoyafanya ni maigizo na ulimbukeni na ndo usanii wenyewe huo
 
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?

Hahahaha nadhani huduma ya kwanza, jipige kidole afu uza kimeo unachomiliki, nunua nokia tochi usiwe unaona mafuriko maana utaweuka

***** wakiweka misafara magufuri na lowassa mnaona sawa?

Afu kukurekebisha tu, hakuna msanii aliyewahi kushinda tuzo kubwa za heshima kama Diamond, kibakuli alivoenda kupanda daladala watu hawakumshobokea ingekuwa mondi lazima polisi wangemwagika
 
We jamaa vp? Wenyewe walioenda hawajalalamika unakuja kulalamika wewe!! Kama unadhani ukisema njoo mnipokee tu watu ndo watakuja kukupokea; jaribu wewe uwaambie angalau wa watu wa kijijini kwenu kwamba unaenda waje kukupkea kama hujakuta shangazi yako peke yake!

Hahahahaha wazo zuri mkuu, najuunga mkono

Oya muanzisha mada fanya ufate ushauri huu, itakuja mbwa tu hta shangazi yako hajiiii...
 
Kinachokuuma nn sasa majitu mengine nayo. Kama ww sio limbukeni sababu unamafanikio yy limbukeni mwache asherekee kwani nchi ni yake. Afu watu hatufanani tabia
 
0eb7c7642ffc9bf25202ee137b31452a.jpg
f3bc9556ae9d3269ea2a594c0288b57e.jpg

Nigerian comments on instagram

Nimemuangalia mpuuzi huyo sio mnaija mbongo,

Afu tuzo mnazosema kapata davido, zote chibu kapata isipokuwa BET kama davido alivo hajawahi kupata MTVEMA

SAHIVI NI MINYOOSHO TU!!!

TUNAENDA KUSHINDA YA DUNIA NZIMA SAHVI
 
Hahahaha nadhani huduma ya kwanza, jipige kidole afu uza kimeo unachomiliki, nunua nokia tochi usiwe unaona mafuriko maana utaweuka

***** wakiweka misafara magufuri na lowassa mnaona sawa?

Afu kukurekebisha tu, hakuna msanii aliyewahi kushinda tuzo kubwa za heshima kama Diamond, kibakuli alivoenda kupanda daladala watu hawakumshobokea ingekuwa mondi lazima polisi wangemwagika
Kiba alivyopanda daladala watu wengi walikuwa hawajui na wala haku post instagram na juzi alivyoenda jagwani hakusema kama atakuwepo na watu walikuwa wengi ila haja post instagram so show offs na misifa usimfananishe kiba na mond aisee juzi tu alienda kupiga show kimykimya ye anaangalia pesa sio watu ukimpa hela yake anayota kwenye sho hata watu watano anapiga hivyo yani
 
Back
Top Bottom