FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Cyo tunamchukia Bali nyodo zake zinakera sana
We jitahidi tu kumpenda kuna siku utaenda sawa na wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cyo tunamchukia Bali nyodo zake zinakera sana
Domo katika ushamba wake. What do you expect from uneducated shithead?
Ndo ivo lakini ndugu zake wa Tandale watakuja hapa kumteteaKweli jamaa anapenda sana cfa za kijinga ndo maana wasanii wenzake wanamuonaga kama boya tu nothing kabisa kwa kichwa anawaza skendo tu
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?
Kama kweli anajiamimi anaweza aache kuwa ananunua tunzo tumuone ubora wakeHahah hao wanaomuona Diamond boya waulize wana mafanikio yapi kwanini asifurahi wakati ndo mtu pekee anaepeperusha bendera ya Tz nje now Africa nzima.
Mbona kuna kipindi stars ikishinda mechi kubwa tunaenda kuipokea airport jamani acheni wivu wa kipuuzi ndo icon pekee bongo lzm awaonyeshe nguvu aliyonayo kama utaki subiri tuzo za Ali kiba ukashangilie ila ni mpaka Diamond astaafu kuimba mana kwa sasa haiwezekani
Kama kweli anajiamimi anaweza aache kuwa ananunua tunzo tumuone ubora wake
Na mwaka huu Mpwa, utakosa kufa tu lakini cha moto umekiona manake ni maumivu tangia January hadi December... hapo sasa unasubiri uzushi wa Shigongo ili ukupe faraja!!!Naona siku akipata tuzo ya oscar ataalika dunia nzima impokee airport ahahhah ushamba mzigo
Fanikiwa na wewe afu usiwe kama yeye
Hebu nipe mfano wa nyodo aliyokufanyia wewe kama wewe! Manake haya mambo unakuta mtu mwenyewe humjui na wala hakujui zaidi ya kumuona kwenye TV halafu mwingine anasema "fulani ana nyodo!"Cyo tunamchukia Bali nyodo zake zinakera sana
Kidingi unajua kiba anawanyima raha coz wizkid mwenyewe walimtoa mtvema sasa kiba kutokuwepo ndo nn et wizkid jeuri walitaka awashobokee dogo kawachomolea na afrimma wizkid aliwadanganya ataenda ku perform hajaenda bila sababu yule ndo wizkid mi ndo mfananisha na kingkiba kila kitu
Jokate ni demu wa Diamond au makapi ya demu wa Diamond?! Mtu kagonga kisha katema halafu unasema demu wa Diamond?!Kikomo cha domo ni king kiba tu yaan huwa ananywea kinoma mbele ya king na mademu zake anamgongea sasa ameanza na jokate baadae ya apo zari ajiandae kupakuliwa na king of bongo flava
Unajua huyu pwilo ni janga la JF! Huyu na mwenzake Shardcole wanapenda sana kumfananisha Kiba na WizKid wakijaribu kuonesha kutopata tuzo sio kwamba ndo si lolote mbona hata WizKid "hajachukua" tuzo wakati WizKid keshawahi beba za Channel O na BET huku MTV Europe ameshawahi kuwa nominated takribani mara 2 not mentioning AFRIMMA! Yaani hawajui kwamba level ya Kiba ni Q Chief!Acha kumfananisha wizkid na mambo ya ajabu wewe!
Jokate ni demu wa Diamond au makapi ya demu wa Diamond?! Mtu kagonga kisha katema halafu unasema demu wa Diamond?!
Kwa hiyo ww unaona ni kawaida tu eti
Mtu akifanikiwa eti limbukeni why?[/QUt
Tuache uongo jamaa unapenda sana sifA za kijinga
Diamond si fisiM lazima awe limbukeni tuu
Na ushahidi ni huo hapo!!!