Diamond ni limbukeni wa mafanikio

Domo katika ushamba wake. What do you expect from uneducated shithead?

Kweli jamaa anapenda sana cfa za kijinga ndo maana wasanii wenzake wanamuonaga kama boya tu nothing kabisa kwa kichwa anawaza skendo tu
 
Kweli jamaa anapenda sana cfa za kijinga ndo maana wasanii wenzake wanamuonaga kama boya tu nothing kabisa kwa kichwa anawaza skendo tu
Ndo ivo lakini ndugu zake wa Tandale watakuja hapa kumtetea
 

🎶🎵.....naona doongee donge....donge la nini panda juu nenda ukazibee.....🎤🎶
 
Hahah hao wanaomuona Diamond boya waulize wana mafanikio yapi kwanini asifurahi wakati ndo mtu pekee anaepeperusha bendera ya Tz nje now Africa nzima.
Mbona kuna kipindi stars ikishinda mechi kubwa tunaenda kuipokea airport jamani acheni wivu wa kipuuzi ndo icon pekee bongo lzm awaonyeshe nguvu aliyonayo kama utaki subiri tuzo za Ali kiba ukashangilie ila ni mpaka Diamond astaafu kuimba mana kwa sasa haiwezekani
 
Kama kweli anajiamimi anaweza aache kuwa ananunua tunzo tumuone ubora wake
 
Nahic angekuwa Ali kiba ucngeongea kuwa makini na maneno unayoongea ni dhahili diamond ni bora kuliko msanii yeyote hapa Tanzania sasa wivu wa nn
 
Cyo tunamchukia Bali nyodo zake zinakera sana
Hebu nipe mfano wa nyodo aliyokufanyia wewe kama wewe! Manake haya mambo unakuta mtu mwenyewe humjui na wala hakujui zaidi ya kumuona kwenye TV halafu mwingine anasema "fulani ana nyodo!"
 

Acha kumfananisha wizkid na mambo ya ajabu wewe!
 
Last edited by a moderator:
Kikomo cha domo ni king kiba tu yaan huwa ananywea kinoma mbele ya king na mademu zake anamgongea sasa ameanza na jokate baadae ya apo zari ajiandae kupakuliwa na king of bongo flava
Jokate ni demu wa Diamond au makapi ya demu wa Diamond?! Mtu kagonga kisha katema halafu unasema demu wa Diamond?!
 
Acha kumfananisha wizkid na mambo ya ajabu wewe!
Unajua huyu pwilo ni janga la JF! Huyu na mwenzake Shardcole wanapenda sana kumfananisha Kiba na WizKid wakijaribu kuonesha kutopata tuzo sio kwamba ndo si lolote mbona hata WizKid "hajachukua" tuzo wakati WizKid keshawahi beba za Channel O na BET huku MTV Europe ameshawahi kuwa nominated takribani mara 2 not mentioning AFRIMMA! Yaani hawajui kwamba level ya Kiba ni Q Chief!
 
Last edited by a moderator:
Yaani waache kukereka waliofunga safari kwenda kumpokea ukereke wewe ambaye umeona picha tu kama mimi Instagram? Kweli mwaka huu una maajabu
 
Jokate ni demu wa Diamond au makapi ya demu wa Diamond?! Mtu kagonga kisha katema halafu unasema demu wa Diamond?!

Domond hana uwezo wa kutema demu labda king kiba coz alimtema adi lulu ambaye kila cku domo anamlilia chezea king kiba ww....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…